Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Ahaha nasikia kumedoda? Chezea warumi wewe watu tumelala makaburin toka juzi tulivyopata taarifa ya ujio wake
watu walikuwepo wa kutosha tu....., huyo aliesema wachache sijui katumia kipimo gani.....
nimekumbuka diamond alipochukua ile tuzo akasema "i wanna dedicate this award to my president Jakaya Mrisho Kikwereee" mambo ya kuslangisha... kikwete ikawa kikwere
Bado zipo photo shop mashabiki muwe wavumilivutuwekeeni picha bas
tuwekeeni picha bas
huko ndo kuna mbwa mwitu!
Eehe kumbe tumedanganywa , sasa hiyo tuzo anazurura nayo wapi na yeye huyo mpaka aporwe au ndo kantangaze? Mama ubaya simpatii pichs mishauz yake uko
Sasa binamu na mvua hii mnafanyaje mmh kweli wewe shabiki wa baba ubaya
hahaa mnatuponda tulivyoenda bado mnataka picha mwee
Hata ningekuwa taxi driver nisingejuwa exctly turkish airways inaingia saa napi kwa sababu matax driver pale wakishapata abiria wa KLM huwa hawarudi tena kwa kifupi last flight ni KLM.
Sasa kuna hizi nyingine wewe huzijui za usiku mkubwa, Kulula airways cheap flight ya kwenda Johanesburg, KQ ya kukupeleka Nairobi to connect ur flight to your destination. Haya kula kulala kama wewe huwezi kuyajuwa.
mambo ya kantangaze hayo binamu.. tunapita na tuzo mitaani ye ndomo yuko ndani ya gari nyeupe ina uwazi kwa juu so kasimama kwa juu kashika tuzo anawapungia mkono mashabiki wake...
madam kama kawa nae yupo...
mambo ya kantangaze hayo binamu.. tunapita na tuzo mitaani ye ndomo yuko ndani ya gari nyeupe ina uwazi kwa juu so kasimama kwa juu kashika tuzo anawapungia mkono mashabiki wake...
madam kama kawa nae yupo...
Hahahahaha huu uzi unanivunja mbavu sana! Daaa we binti unajua kuchochea kuni daainamaana si tunaokaa Vingunguti kiembe mbuzi ni watoto wa mbwaa mwee...
ngoja nikanunue supu kwa wagogo hapa... karibu supu
Kwa kweli tangu nizaliwe ni watu wawili tu ndio waliweza kugusa moyo wangu nikaenda airport kuwalaki, wa kwanza ni Nelson Mandela na wa pili ni Dr Slaa aliporudi Dar baada ya kukubali kugombea urais, tulitembea kwa mguu sambamba na Mnyika kwenye ule msafara kutoka airport mpaka Jangwani.
Mtu wa tatu atakayepata heshima hii kutoka kwangu ni Kikwete siku atayotuachia ikulu yetu nitasukuma gari lake mpaka msoga.
Mmh siamini kama huko eneo la tukio!lazima ungesha weka picha! Weka picha ya mnato au video kabisa! Ina maana tunzo si mbili tena ni moja?mambo ya kantangaze hayo binamu.. tunapita na tuzo mitaani ye ndomo yuko ndani ya gari nyeupe ina uwazi kwa juu so kasimama kwa juu kashika tuzo anawapungia mkono mashabiki wake...
madam kama kawa nae yupo...
hata mm binamu, picha inaongea zaidi kuliko maneno
binamu punguzeni matusi jaman.... kuna maneno nikikutana nayo nahisi niko jukwaa la wakubwa kumbe celebrities forum
cc Ruttashobolwa nakubaliana na hoja yako hapo juu
msafara ulikuwa na watu 50,000 ilibidi IGP alete polisi 1000 wa kulinda dah ilikuwa nooma maaana Rais wa burundi na wa congo wammetuma wawakilishi na Rais kikwete ambaye pia kwa sasa ni kama shadow promoter wa tajiri Dangote platinum ndiye kasababisha shoo nzima