Diamond awaomba mashabiki kumpokea Airport

Status
Not open for further replies.
Ahaha nasikia kumedoda? Chezea warumi wewe watu tumelala makaburin toka juzi tulivyopata taarifa ya ujio wake

binamu hakujadoda bana full matarumbeta utatutaka.......,
Diamond ana mbwembwe jamani patia pozi la kamsafara kama ka raisi mwee
 
watu walikuwepo wa kutosha tu....., huyo aliesema wachache sijui katumia kipimo gani.....

nimekumbuka diamond alipochukua ile tuzo akasema "i wanna dedicate this award to my president Jakaya Mrisho Kikwereee" mambo ya kuslangisha... kikwete ikawa kikwere

Eehe kumbe tumedanganywa , sasa hiyo tuzo anazurura nayo wapi na yeye huyo mpaka aporwe au ndo kantangaze? Mama ubaya simpatii pichs mishauz yake uko

Sasa binamu na mvua hii mnafanyaje mmh kweli wewe shabiki wa baba ubaya
 
mambo ya kantangaze hayo binamu.. tunapita na tuzo mitaani ye ndomo yuko ndani ya gari nyeupe ina uwazi kwa juu so kasimama kwa juu kashika tuzo anawapungia mkono mashabiki wake...

madam kama kawa nae yupo...
 
Hata ningekuwa taxi driver nisingejuwa exctly turkish airways inaingia saa napi kwa sababu matax driver pale wakishapata abiria wa KLM huwa hawarudi tena kwa kifupi last flight ni KLM.

Sasa kuna hizi nyingine wewe huzijui za usiku mkubwa, Kulula airways cheap flight ya kwenda Johanesburg, KQ ya kukupeleka Nairobi to connect ur flight to your destination. Haya kula kulala kama wewe huwezi kuyajuwa.

Hayo utayajua wewe unaofanya mishe mishe zako hapo airport, mi nina miaka miwili sijapita hapo. Kuhusu kula kulala umekosea bro. Mi napiga mbio za maisha tangu nilivyokuwa teen.
 
binamu hakujadoda bana full matarumbeta utatutaka.......,
Diamond ana mbwembwe jamani patia pozi la kamsafara kama ka raisi mwee

Fanya uturishie na picha binamu bwana auoni itanoga zaidi kuliko maneno matupu? Madam vipi uko na kigodor
 
mambo ya kantangaze hayo binamu.. tunapita na tuzo mitaani ye ndomo yuko ndani ya gari nyeupe ina uwazi kwa juu so kasimama kwa juu kashika tuzo anawapungia mkono mashabiki wake...

madam kama kawa nae yupo...

Eeh mashabiki kazi mnayo, kumbe ujumbe wangu ulimgusa eeh? Sasa alivyotaka kuhangaisha watu saa nne za usiku hao watu mikono angewapa saa ngapi? Kumbe michambo yangu imesaidia eeh
 
mambo ya kantangaze hayo binamu.. tunapita na tuzo mitaani ye ndomo yuko ndani ya gari nyeupe ina uwazi kwa juu so kasimama kwa juu kashika tuzo anawapungia mkono mashabiki wake...

madam kama kawa nae yupo...

Kwa kweli tangu nizaliwe ni watu wawili tu ndio waliweza kugusa moyo wangu nikaenda airport kuwalaki, wa kwanza ni Nelson Mandela na wa pili ni Dr Slaa aliporudi Dar baada ya kukubali kugombea urais, tulitembea kwa mguu sambamba na Mnyika kwenye ule msafara kutoka airport mpaka Jangwani.

Mtu wa tatu atakayepata heshima hii kutoka kwangu ni Kikwete siku atayotuachia ikulu yetu nitasukuma gari lake mpaka msoga.
 
Duh .....hadi msonga ......hahahahaha .......itabidi nipite hospitali wachunguze mbavu zangu nahisi zimevunjika kwa kicheko .....
 
mambo ya kantangaze hayo binamu.. tunapita na tuzo mitaani ye ndomo yuko ndani ya gari nyeupe ina uwazi kwa juu so kasimama kwa juu kashika tuzo anawapungia mkono mashabiki wake...

madam kama kawa nae yupo...
Mmh siamini kama huko eneo la tukio!lazima ungesha weka picha! Weka picha ya mnato au video kabisa! Ina maana tunzo si mbili tena ni moja?
 
msafara ulikuwa na watu 50,000 ilibidi IGP alete polisi 1000 wa kulinda dah ilikuwa nooma maaana Rais wa burundi na wa congo wammetuma wawakilishi na Rais kikwete ambaye pia kwa sasa ni kama shadow promoter wa tajiri Dangote platinum ndiye kasababisha shoo nzima
 
Jamani ndomo kavunja rekodi kwa kweli, watu elfu 50? Nani kama baba ubaya jaman? Utukufu na heshima vyote viende kwake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom