warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Msanii wa kizazi kipya, Diamond platnums, amewaomba mashabiki wake kumpokea Airport usiku wa saa nne kesho jumatano kwenye viwanja vya Julius K Nyerere, akitokea nchini Marekani alipoenda kwenye ugawaji wa tuzo za Afrimma ambapo msanii huyo alishinda kipengele cha msanii bora Africa mashariki.
Sasa umetuchoka mashabiki wako, sasa sisi tukae macho hadi saa nne za usiku mpaka uje , sasa ukishakuja ndo nini labda? Yani tukupokee usiku halafu wewe na hao vibaraka wako mpande prado mrudi Sinza , aya na sisi wakina Abdala Msogoti tunarudije kwetu usiku wote huo? Au utatukodishia mabasi ya kuturudisha home? Maana umetuita,
Ndio tunajua unataka ufurahi na mashabiki wako, kwani unashindwa kuandaa special event pale Leaders na mashabiki wakaja kukupongeza apo tena pakubwa tu, unasumbua watu tena bila aibu eti wakupokee saa nne usiku au ndo unataka kuvunja rekodi airport?
Mnataka tu kuwasababishia watoto wa watu matatizo wabakwe uko na kuibiwa ndo ufurahi, mwenyewe huyo unarudi kwako na usafiri wako unawaacha wenzio wakihangaika na usafiri au utawalipa? Apo utataka watu wakusindikize kwa miguu toka airport hadi kwako, wewe unapigwa na Ac wenzio wanapiga mguu, na utawapata wapo wengi tu ma jobless watakuja kukupokea".
Na bora umewaambia mapema maana kuna watu watatoka morogoro,kimbiji na mikoa yote watakuja kukupokea airport, maana kuna watu wana ndoto japo tu wakuone super star wao, sasa ndo uandae na guest wenzio walale maana si unapenda sifa ulipe na gharama , aya nadhani ujumbe wameupata.