AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Diamond anajua sana ila kwa wimbo mpya wa Ally Kiba-Mwana nimekubali kuwa mwenye siti yake Kiba karudi so kijana Diamond ajipange la si hivyo atarudi tandale kwenye kitorondo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu wa tatu atakayepata heshima hii kutoka kwangu ni Kikwete siku atayotuachia ikulu yetu nitasukuma gari lake mpaka msoga.
Diamond anajua sana ila kwa wimbo mpya wa Ally Kiba-Mwana nimekubali kuwa mwenye siti yake Kiba karudi so kijana Diamond ajipange la si hivyo atarudi tandale kwenye kitorondo.
kuna fununu kwamba leo kaalikwa ikulu kwenda kusheherekea na vigogo wa nchi hii kwa kufanikiwa kutwaa tuzo hizo kubwa kuliko zote africa, hakika ni msanii pekee aliyeiletea nchi sifaJamani ndomo kavunja rekodi kwa kweli, watu elfu 50? Nani kama baba ubaya jaman? Utukufu na heshima vyote viende kwake
Kama hupendi umbea si uende kule Great thinker utuwaache sie huku ,unavyotukana hivyo we mwenyewe unaonekana wale wale au nenda kule ukajadili katiba humu umelazimishwaaa,,,,!!!!!
kuna fununu kwamba leo kaalikwa ikulu kwenda kusheherekea na vigogo wa nchi hii kwa kufanikiwa kutwaa tuzo hizo kubwa kuliko zote africa, hakika ni msanii pekee aliyeiletea nchi sifa
Kama hupendi umbea si uende kule Great thinker utuwaache sie huku ,unavyotukana hivyo we mwenyewe unaonekana wale wale au nenda kule ukajadili katiba humu umelazimishwaaa,,,,!!!!!
Jina lako halisi we ni Bilali, tunajua unapenda raha raha.
Diamond anajua sana ila kwa wimbo mpya wa Ally Kiba-Mwana nimekubali kuwa mwenye siti yake Kiba karudi so kijana Diamond ajipange la si hivyo atarudi tandale kwenye kitorondo.
Mmh siamini kama huko eneo la tukio!lazima ungesha weka picha! Weka picha ya mnato au video kabisa! Ina maana tunzo si mbili tena ni moja?
Ikulu ya posta au white house ya kwa obama? Kama ya posta uko hata bongo movie akina bambo wana alikwa kila siku, halafu mbona wanatuchanganya mara watu wamemuona kashika tuzo moja wew unasema tuzo mbili mmh makubwa haya.
Mmh kweli ndomo ainuliwe juu
Hujapotea ila kuna mipumbavu imezamia Partynimepotea njia ama...
Hujapotea ila kuna mipumbavu imezamia Party
Warumi kapewa ban