Diamond awaomba mashabiki kumpokea Airport

Status
Not open for further replies.
Diamond anajua sana ila kwa wimbo mpya wa Ally Kiba-Mwana nimekubali kuwa mwenye siti yake Kiba karudi so kijana Diamond ajipange la si hivyo atarudi tandale kwenye kitorondo.
 
kwa kua umeongea wewe nimekubal wimbo mzuri
 
huyo raisi wa tandale
cc TATIANA
 
Attachments

  • 1406715366359.jpg
    1406715366359.jpg
    68.6 KB · Views: 143
  • 1406715390783.jpg
    1406715390783.jpg
    73.2 KB · Views: 141
Last edited by a moderator:
kwa kua umeongea wewe nimekubal wimbo mzuri

Kiba ana sauti nzur sana, kuna wimbo wake mmoja sijui kashirikishwa unaitwa uaminifu dah jamaa ni mkali kuliko ndomo, ngoja mwenyew arudi
 
Jamani ndomo kavunja rekodi kwa kweli, watu elfu 50? Nani kama baba ubaya jaman? Utukufu na heshima vyote viende kwake
kuna fununu kwamba leo kaalikwa ikulu kwenda kusheherekea na vigogo wa nchi hii kwa kufanikiwa kutwaa tuzo hizo kubwa kuliko zote africa, hakika ni msanii pekee aliyeiletea nchi sifa
 
Kama hupendi umbea si uende kule Great thinker utuwaache sie huku ,unavyotukana hivyo we mwenyewe unaonekana wale wale au nenda kule ukajadili katiba humu umelazimishwaaa,,,,!!!!!

Uwezi huo anao best yeye ni matusi tu obvious wasio na hoja matusi na kashfa ndo.defense mechanism yao kule kwa ma great thinker atachangia nini kashindwa hoja na amesahau kila.mtu na.mtazamo wake haiwezi kufanana
 
kuna fununu kwamba leo kaalikwa ikulu kwenda kusheherekea na vigogo wa nchi hii kwa kufanikiwa kutwaa tuzo hizo kubwa kuliko zote africa, hakika ni msanii pekee aliyeiletea nchi sifa

Ikulu ya posta au white house ya kwa obama? Kama ya posta uko hata bongo movie akina bambo wana alikwa kila siku, halafu mbona wanatuchanganya mara watu wamemuona kashika tuzo moja wew unasema tuzo mbili mmh makubwa haya.

Mmh kweli ndomo ainuliwe juu
 
Kama hupendi umbea si uende kule Great thinker utuwaache sie huku ,unavyotukana hivyo we mwenyewe unaonekana wale wale au nenda kule ukajadili katiba humu umelazimishwaaa,,,,!!!!!

Onyesha wapi nilipotukana. Mi hata maisha ya kawaida huwa situkani, naongeakawaida tu,sema we dada hujatulia.
 
Diamond anajua sana ila kwa wimbo mpya wa Ally Kiba-Mwana nimekubali kuwa mwenye siti yake Kiba karudi so kijana Diamond ajipange la si hivyo atarudi tandale kwenye kitorondo.

Ni wewe huyu au macho yangu tu? ngoja nitafute miwani yangu kwanza.
 
Ikulu ya posta au white house ya kwa obama? Kama ya posta uko hata bongo movie akina bambo wana alikwa kila siku, halafu mbona wanatuchanganya mara watu wamemuona kashika tuzo moja wew unasema tuzo mbili mmh makubwa haya.

Mmh kweli ndomo ainuliwe juu

Tuzo ya pili kapewa na maagazeti yao ya udaku ya bongo
 
Binamu naona ushavamiwa na boko haramu hahahaha pole kwa BAN

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom