Diamond aweka historia ya kuwa mtanzania wa kwanza kulipwa pesa nyingi kwenye usiku mmoja hapa Tanzania

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066

Usiku wa tarehe 31 December, 2022 history inaenda kuandikwa.

Kijana kutoka mitaa ya Tandale, Diamond Platnumz aka Simba anaenda kuandika rekodi mpya kwenye ardhi ya Tanzania.

Kwa mkataba wa kufanya show ya saa nne juu ya stage pale Ramada. Diamond atalipwa Tshs Million 300.

Hajawai tokea binadamu yeyote hapa Tanzania akalipwa pesa nyingi namna hiyo kwa usiku mmoja.

Diamond ni living legend msanii wa kihistoria GOAT. Ipo siku ataingizwa kwenye mitaala ya shule zetu wajifunze kuhusu huyu kiumbe wa ajabu.
 
Mtu ukiwa chawa huwa akili inatoweka pia? Tarehe 31 November ipo kwenye kalenda gani? Hata kama ingekuwepo lakini tumeshaipita ila wewe chawa mpuuzi unaongelea mambo yajayo. Wewe ni chawa mpumbavu zaidi kwa mwaka 2022. Hongera sana.
 
Username yako na avatar inazungumza kila kitu kuhusu wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…