sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Usiku wa tarehe 31 December, 2022 history inaenda kuandikwa.
Kijana kutoka mitaa ya Tandale, Diamond Platnumz aka Simba anaenda kuandika rekodi mpya kwenye ardhi ya Tanzania.
Kwa mkataba wa kufanya show ya saa nne juu ya stage pale Ramada. Diamond atalipwa Tshs Million 300.
Hajawai tokea binadamu yeyote hapa Tanzania akalipwa pesa nyingi namna hiyo kwa usiku mmoja.
Diamond ni living legend msanii wa kihistoria GOAT. Ipo siku ataingizwa kwenye mitaala ya shule zetu wajifunze kuhusu huyu kiumbe wa ajabu.