Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

Yaani nyie wote mnao tokwa na povu inshu sio tu Chibu bali mmezoea perfume za 5000 matwezaje kutoa 105000 kununua Chibu tuacheni wenye hera zetu tumuunge Dogo mkono nyie zenu Roho Mbaya na Wivu
 
Diamond amezindua rasmi pafyumu yake ya Chibu, itauzwa kwa bei ya 105,000 bei ya rejareja ameomba sapoti kwani anatoa ajirakwa vijana
Zitapatikana GSM Mall, Mlimani City, pia zitakuwa zikipatikana kwenye ndege

 
Duh, acha mashabiki zake tuendelee kutumia Kurusumu zetu, perfume ambazo unashauriwa usijipake kama kuna jua maana odor yake huwa inachenge mbaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiyo ni bei kwa chupa. Mashabiki wake mpaka leo wananunua perfume kwa mpulizo. Kama mpulizo mmoja 500, ukitaka 4 unalipa 2000
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
nataman ningekua chupi univae
Pole kwa ugonjwa..... Utaponaga tu!!!!
Perfume inanukia kama banda la kuku..Yaani niache kununue ma perfume ya maana nininue mavi haya..kwanza chibu ndio nini?si bora angeiita tu domo pana perfume?mxxxx.akampulizie sepetu

Tehehehe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wabongo nuksi. Nilisemaga fanya fyongo ndio Utajua maneno ya Wabongo yalipohifadhiwa. Ila Mungu anawaona. Huu uzi unaelekea kuwa uzi pacha wa "kama una stress pita hapa"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee.
 
Nasubiri spray yake ya Tsh. Elf 5
 
Watu na mafuvu yao [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Pulizieni mtolewe khafara
 
Perfume ovyo kabisa... kuna jamaa angu kapuliza hapa nzi wamekuja kama wameitwa
 
Leo nimejipatia yangu sikutaka kuwa nyuma
kiukweli Kijana anahitaji pongezi
nasubiria pia ya Ali K
Hata ikiwa Laki 2
nitanunua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…