Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

Mjanja unatumia chibu?we ndio utumvo kweli...utafananisha davidoff na huo mharufu wa mavi

Pole sana dogo najua unavyojisikia, wivu na roho mbaya vinakutesa but huna unachoweza kufanya watu wanaigombania pafyumu kama pipi na inatafutwa mpaka nje ya nchi.
 
ko nyie mnataka wote tunukie ki chibu chibu kila unaepishan nae ananukia chibu ndo nn sas kwanz me zangu haizidi 15sh maskin mm
 
Dah ila kweli binadamu tunatofautiana, yaani usawa huu nitoe laki eti ninunue pafyumu? Hata buku gwala sitoi, mi babycare inanitosha. Wanaume wa Dar toeni laki mnukie vizuri


Mpaka wagumu wajanja wananukia chibu.
 
Ukisikiliza watu humu jf huwezi kufanya kitu.
Cha ajabu wanaotakiwa kujifunza kwa waliofanikiwa ndio wanajifanya walimu. Wakati wao wanapiga kelele na kutoa povu wenzao wanafanya kweli na wanafanikiwa.
 
This is the best you can do, wenye akili wapo sokoni wanapambana kutengeneza pesa. Nyie toeni povu tu.
 
Wabongo kwa kuponda tunaongoza Duniani. Eti, pafyumu inanukia mavi? Tujifunze kuthamini vya nyumbani wandugu. HONGERA DIAMOND, HONGERA GSM, HONGERA BASHITE.
 
Acha wivu we kijana, andaa na wewe yako basi kama utapata wa kununua. WAGALATIA MNA WIVU SANA mkiona mwislamu katoboa
We Ng'ombe kweli, katika utetezi wote umeona udini ndo point? Watu kama nyie adhabu yenu kudeki banda la nguruwe shubaamit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…