Mr Kipago
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 597
- 622
Mtakufa na Kiroho cha chuki
usikute unaiona kwenya Insta pekee
kweli wewe wa kwenye insta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtakufa na Kiroho cha chuki
usikute unaiona kwenya Insta pekee
Mjanja unatumia chibu?we ndio utumvo kweli...utafananisha davidoff na huo mharufu wa mavi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamna povu. Nataka tu kujua nini kinakukera kijana kuuza manukato yake? Kama hayafikii viwango vyako si unapotezea tu...
Namshauri Bashite azifungie perfume za nje ya nchi ili hii ya Chibu ipate soko.
Kwa hakika chibu (nachibu) atakuwa ameusoma upepo kupitia uzi huu.
BASHITE amemuharibia saaana!!!!
Kuna vitu vya kufagilia si ujinga kamaa huu. Pua zetu zimezoea vitu vya uhakika si hivi vya kuigiza na kuumiza watu pua/sinus kwa kujitakia. Mwambie akawagawie nduguze Tandale na Kigoma.
mleta mada umetumwa kuitangaza pamfunyuku tumekujua atununui eti laki na hamsa bola ninunue kiloba cha unga mtu uyo uyo katutukana atufanyi kaz kisa umbea wa vyeti
Perfume ovyo kabisa... kuna jamaa angu kapuliza hapa nzi wamekuja kama wameitwa
Dah ila kweli binadamu tunatofautiana, yaani usawa huu nitoe laki eti ninunue pafyumu? Hata buku gwala sitoi, mi babycare inanitosha. Wanaume wa Dar toeni laki mnukie vizuri
Kwa alio watarget hiyo bei ni cheeNadhani itauzika kimataifa. Hapa ni too expensive. Inawezekana Dai hajaelewa hali halisi ya nchi. All the best to him.
Cha ajabu wanaotakiwa kujifunza kwa waliofanikiwa ndio wanajifanya walimu. Wakati wao wanapiga kelele na kutoa povu wenzao wanafanya kweli na wanafanikiwa.Ukisikiliza watu humu jf huwezi kufanya kitu.
This is the best you can do, wenye akili wapo sokoni wanapambana kutengeneza pesa. Nyie toeni povu tu.Naiyona kule lipstick za Kiss zilipo
Elimu Elimu Elimu
Mh Lowassa aliona ombwe kubwa sana katikati ya vichwa vya watanzania
Nina mashaka na haya
-Hakuna market survey and research
-Needs and wants assesment
-Marketing test na consumerizatiom
-Standards grade and brand (Hapa kachemka yeye kiumaarufu anaitwa Diamond plutnumz perfume inaitwa chibu hapo ni ugali na mgonjwa haiwezi kufanya vizuri sokoni na ni ndoto )
-Varieties hapa pia kachemka( kila mtumiaji na preference zake sio wote wanahitaji kitu kimoja(uniformity) kwa wakati mmoja wanawake wanapenda harufu flani wanaume pia kila mteja na kada yake, vijana, watu wa umri wa kati, wafanyakazi wa maofisini n.k
Swali wateja wote watanukia harufu sawa??? )
-accessibility ([emoji38] kaziweka GSM Mall pole kaka Nasibu Watu wote wataenda Gsm Mall kuifuata perfume tu kazi kweli kweli)
-Price sio rafiki kwa watu wote(Japokuwa kuna wateja wa perfume za bei ghali kwa sababu wanaafford au for presitige)
I stand to be corrected
Kuandaa perfume yake ni ubunifu?? Tafuta tafsiri ya neno ubunifu then halafu jiulize tena alichokifanya ni ubunifu?Safi vijana tukiwa wabunifu kwa nyanja mbalimbali tutafika
Wewe demu bila shaka,,,utanunuliwa tu na wanakuvua chupiBei nzuri na sio ya bei kubwa, wengi wataweza kununua.
Acha wivu we kijana, andaa na wewe yako basi kama utapata wa kununua. WAGALATIA MNA WIVU SANA mkiona mwislamu katoboaKuandaa perfume yake ni ubunifu?? Tafuta tafsiri ya neno ubunifu then halafu jiulize tena alichokifanya ni ubunifu?
We Ng'ombe kweli, katika utetezi wote umeona udini ndo point? Watu kama nyie adhabu yenu kudeki banda la nguruwe shubaamit.Acha wivu we kijana, andaa na wewe yako basi kama utapata wa kununua. WAGALATIA MNA WIVU SANA mkiona mwislamu katoboa
Kapiga penyewe nini mbona povu?We Ng'ombe kweli, katika utetezi wote umeona udini ndo point? Watu kama nyie adhabu yenu kudeki banda la nguruwe shubaamit.