Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

Kusema kweli chibu na mkubali sana lkn perfume duu, hebu fikiria kidogo kupunguza. Ila sitoshangaa, zikifanya vizuri sokoni kwani kila mtu na mfuko wake, so usiseme watu hawana ela, sema mimi sina ela, Kuna watu watazinunua tu.
 
Usawa huu wa magu mbona kazi anayo

Kama target yake ni soko upande wa kina mama anaweza kupumua kidogo, sidhani kama wanaume wanaweza kupitia trouble zote za kutoa misimbazi 10+ kua na perfume Lina jina chibu
Nitatumia belagio buku tano tu hahahahhaa 10+msala
 
Rahisi sana, itakuwa si perfume hiyo, labda ni eau de toilette.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mama mkwe [emoji100] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Angetengeneza hata body splash akafanya basi 40 au 50.
Jamn laki plus..
Bora kitu kitoke zaidi kwa bei ya kawaida kuliko bei kubwa afu utokaji wa bidhaa uwe mdgo..

Sijui mshauri wake wa masuala ya uchumi ni nani.
 
Japo na kaushabiki kwa mbaliiii nakaona ila umetoa bonge moja la point....unajua huyu jamaa angeamua ata kutengeneza ata madaftar tu ya wanafunzi akabandika picha yake angeuza sana coz almost kwa wasanii wa bongo domo anakubalika sana na watt wa kitaani kuanzia primary mpk secondary....siyo izo perfume tena za ghali kiasi icho 100k tsh hahahabaaaa nafwaaaaaaz
 
Vema sana
 
Inategemea kawekeza pesa kiasi gani na maligafi zilizotumika unataka kwa perfume 1 atumie gharama ya elfu 80 ajr akuuzie elfu kumi !!
 
Daaah,mkuu nakupa 5 star*****
Best advise so far
 
Hebu walioinunua waipulizie huku tusikie harufu yake tafadhali...
 
Reactions: SDG
Market segmentation wachumi tunaita price discrimination, ukiona unalalamika ujue haujalengwa wewe,wapo wabongo ambao wananunua mpaka perfume za laki 4+,Na bidhaa kama hizi hawaangalii volume of sales wanaangalia revenue generation. That's why kuna Carina Ti na Bentley Continental.

Im neither his fan nor hater ila kwa hili nampongeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…