Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

Hii bei ni ndogo sana kwa watu kama mimi
 
ikishindikana auze mabumunda yaliyokua branded chibu au hata vitumbua basi!!
perfume laki na efu 5??
[emoji15]
 
Kisa zinapatikana hadi kwenye ndege ndio ninunue, mbona kwenye hata nnya nnayoitia kwenye cha shimo na mle imo[emoji34] [emoji34] tatizo bei
 
Yaani pafyumu inaitwa chibu!!!!
Kama jina la dawa ya kalumanzila!!!!!
 
Nafikiri huyo anaetoa laki 4 ananunua perfume yenye brand kubwa za nje na sifikirii huyo mtu kama atakuja kununua hii ya kibongo ya laki..bro kachemka,ni sawa mtu kazoea kunywa CIROC alafu leo hii umnyweshe bia ya kibongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…