chiko simion
Member
- Mar 11, 2015
- 53
- 16
Hutakaa uje uelewe hata siku moja... posts zingine ni bora ukawa unazipita tu manake huenda haziendani na uwezo wako wa kufikiri!!!!
Unajiabisha mbele ya watu wanaoelewa manake unaonesha wazi kwamba wewe huelewi na haielekei kwamba ipo siku utakuja kuelewa!!!! POLE SANA... usiwe unakurupuka na kusoma vitu ukadhani kila unachosoma ni hadithi za Braza Erick!!!Ww na mm nan anauwezo mdogo wa kufikiria iv ww uoni ata aibu eti zari ana mimba kaeks sponji hahahahaha kijana ujajitambua bado kawadanganye watoto wenzio uko c cc mbavuuuuuuuu umekali majungu na fitina tuuu ww...
Unajiabisha mbele ya watu wanaoelewa manake unaonesha wazi kwamba wewe huelewi na haielekei kwamba ipo siku utakuja kuelewa!!!! POLE SANA... usiwe unakurupuka na kusoma vitu ukadhani kila unachosoma ni hadithi za Braza Erick!!!
Sawa mwelevu
I have nothing to say zaidi ya POLE SANA!
Aagh bora mwite mwelevu
Yaani hawa watu wanatunga ka ukweli waweke tarehe sehemu yaani na kunukuu wanachokisema....wanashangaza sana
Ni wivu tu....wawaache wa enjoy mapenzi yao sijui wanawashwa nini...
Nasubiria sheria tuwaone watarusha nini
Nakuona tangu jana umekomaa ile mbaya... jifunze kusoma between the lines!Aagh bora mwite mwelevu
Yaani hawa watu wanatunga ka ukweli waweke tarehe sehemu yaani na kunukuu wanachokisema....wanashangaza sana
Ni wivu tu....wawaache wa enjoy mapenzi yao sijui wanawashwa nini...
Nasubiria sheria tuwaone watarusha nini
Hahahaahaaa!!! Usicheze na fasihi bhana... warumi mwenyewe jana alishakuwa rafiki yangu ghafla lakini baadae akanishitukia kwamba namnanga!!! Watu wanashindwa kujiuliza, huyo warumi DNA Results ataitoa wapi hadi niseme warumi atakuja kuthibitisha hapa na majibu ya DNA!!!best umetumia fasihi sana people wont understand u
Kapewa ulikuwepo? Si useme tarehe na mwezi na mwaka bila kusahau saa waliodu kitendo...
Sema na facts kuwa ilikuwa hivi na hivi na niliona sio kutunga.
Huyo katunzi mwenyewe hamumusemi hata full name hamshuki...
Mmmh
pole nyingine...alarafu swala la mimba mama ndo anaejua mimba ya nani uyujamaaa anadai katunziii yy alikuwepo au zari ndo alisema ivo
pole nyingine...
Mpwa warumi, hivi si ilikuwa mwaka 2014 Spetmber 14, saa nne asubuhi vile; au? Afu jina la kwanza la Katunzi nani vile?
Kwa hiyo mimba yake unasema alido tarehe hiyo 14 sept 2014
ok so tuseme tarehe ya kwanza alipoanza kupata siku zake kwa mara ya mwisho ilianza tarehe 1 sept... ok so ukihesabu due date ya mimba hiyo naona atakuwa ana kama wiki sita zimebaki kujifungua.
yaani nikienda weka kwa kukadiria as wanawake wengine uanza tarehe moja basi napata kua mimba yake ina wiki 34 na amebakiza kama wiki 6 kujifungua so due date yake ni 8 June mwaka huu...so twatoaga wiki +2 na -2 kwa mtu kuweza kuzaa....
yaani
Ku do 14/09/2014
first day of last period: 01/09/2014 (kwa wanawake wengi ndio hivyo)
sasa leo mimba itakuwa na wiki 34
bado wiki 6 kutegemea kujifungua
due date 8/06/2015
...tukienda na miezi wanayosema wanategemea mtoto na walipokutana wakati ule na kurusha zile picha za kwenye ndege kutuletea breaking news ya kiaina so piga mahesabu mwenyewe picha zimo kwenye insta zao ni kama wiki twenty something ago...
Sio kweli, Wema hana tatizo lolote na kila mmoja anafahamu kwamba Diamond ni mgumba... tuache kufichiana maradhi, Diamond hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba, PERIOD!
SORRY, do I need to read all this?! Nilikupa changamoto ya kujifunza kusoma between the lines lakini kinyume chake unaleta mahesabu ya kushika ujauzito wakati ungefanyia kazi ushauri angu wala usingejisumbua kuandika yote hayo!!!Kwa hiyo mimba yake unasema alido tarehe hiyo 14 sept 2014
ok so tuseme tarehe ya kwanza alipoanza kupata siku zake kwa mara ya mwisho ilianza tarehe 1 sept... ok so ukihesabu due date ya mimba hiyo naona atakuwa ana kama wiki sita zimebaki kujifungua.
yaani nikienda weka kwa kukadiria as wanawake wengine uanza tarehe moja basi napata kua mimba yake ina wiki 34 na amebakiza kama wiki 6 kujifungua so due date yake ni 8 June mwaka huu...so twatoaga wiki +2 na -2 kwa mtu kuweza kuzaa....
yaani
Ku do 14/09/2014
first day of last period: 01/09/2014 (kwa wanawake wengi ndio hivyo)
sasa leo mimba itakuwa na wiki 34
bado wiki 6 kutegemea kujifungua
due date 8/06/2015
...tukienda na miezi wanayosema wanategemea mtoto na walipokutana wakati ule na kurusha zile picha za kwenye ndege kutuletea breaking news ya kiaina so piga mahesabu mwenyewe picha zimo kwenye insta zao ni kama wiki twenty something ago...
Uwezo wako mdogo wa kuelewa... nimekuambia don't read everything kama hadithi za Shigongo!!Mwambie boya uyo ajielewi bado
Siwezi kukuhukumu may be ukisoma posts zangu zingine unaweza kunielewa namaanisha nini hasa tofauti na wengine tangu jana wanamwaga povu bila sababu za msingi!!!mmmmm.....kila mmoja? including wewe labda?
Usijifanye unanijua mtoto wa kike!
Usijifanye unanijua mtoto wa kike!