Kwa hiyo mimba yake unasema alido tarehe hiyo 14 sept 2014
ok so tuseme tarehe ya kwanza alipoanza kupata siku zake kwa mara ya mwisho ilianza tarehe 1 sept... ok so ukihesabu due date ya mimba hiyo naona atakuwa ana kama wiki sita zimebaki kujifungua.
yaani nikienda weka kwa kukadiria as wanawake wengine uanza tarehe moja basi napata kua mimba yake ina wiki 34 na amebakiza kama wiki 6 kujifungua so due date yake ni 8 June mwaka huu...so twatoaga wiki +2 na -2 kwa mtu kuweza kuzaa....
yaani
Ku do 14/09/2014
first day of last period: 01/09/2014 (kwa wanawake wengi ndio hivyo)
sasa leo mimba itakuwa na wiki 34
bado wiki 6 kutegemea kujifungua
due date 8/06/2015
...tukienda na miezi wanayosema wanategemea mtoto na walipokutana wakati ule na kurusha zile picha za kwenye ndege kutuletea breaking news ya kiaina so piga mahesabu mwenyewe picha zimo kwenye insta zao ni kama wiki twenty something ago...