TRA wamejaa wachagga na wachagga wote ni CHADEMA na husema wazi kabisa si mliichagua serikali wenyewe ngoja tuwaonyesheHa hicho ndio kinamshangaza Diamond anabaniwa vipi? Au TRA kuna wanachadema?🤣🤣🤣
Kila anayefanya uovu au anayeshirikiana na muovu au kuushiriki uovu, ni lazima, na ni haki kwake kuguswa kwa kiasi fulani na uovu alioshiriki kuusimika.Watawala wakiona mambo hayaendi au hawana la maana walilolifanya au wakiona maisha magumu huwatafuta hawa kina diamond kupumbuza wananchi na kuwasahaulisha matatatizo waliyonayo. Juzi tu hapa alikuja znz kukata viuno kwa mualiko wa Mwinyi.
Sasa na wao kina diamond kwa kua ni part of conspiracy, wanajiona wana immune ya kutokufuata sheria na kua watawala watawalinda wakisahau kua watawala hawana urafiki wa kudumu.
Hiyo sio kauli ya diamond. Kwani hukuona ile kauli yake ya mwanzo.?Diamond ana maana gani kusema anajiuliza kama pale TRA kuna mtu wa chama pinzani?
Kwamba kwake wapinzani ndio wenye roho mbaya?
Kwa hiyo kauli yake, huyu mtu hata kama yanamkuta lakini ni kama bado ana mentality ya kujipendekeza kwa CCM, ameleta suala lake public ili kutafuta huruma tu kwa watanzania.
CHADEMA CHADEMAKila anayefanya uovu au anayeshirikiana na muovu au kuushiriki uovu, ni lazima, na ni haki kwake kuguswa kwa kiasi fulani na uovu alioshiriki kuusimika...
Mkuu hujawahi kukutana na hao TRA wanamaneno ya shombo na wanafanya kwa kauli mbiu SI MLIICHAGUA WENYEWE CCM sasa kwa kauli hiyo wewe unaelewa nini?Diamond ana maana gani kusema anajiuliza kama pale TRA kuna mtu wa chama pinzani...
Huyo jamaa unayemuongelea, ana watu wahusika za kila nyanja yeye ni mtoa kauli tu. Hivo kuna shida.Tatizo la watanzania wengi ni elimu. Kumbuka elimu haipatikani shule tu. Ukikosa elimu umekosa kujitambua.
Huyu bwana kama walivyo wengine kujitambua zero. Ndiyo maana pamoja na dhuluma zao hadharani wanasema wataendelea kutawala miaka 100.
CHADEMA ndiyo inayodai kodi au inayolalamikia dhidi ya kodi?CHADEMA CHADEMA
Huwezi elewa na naomba uombe ubaki hivyo hivyo.CHADEMA ndiyo inayodai kodi au inayolalamikia dhidi ya kodi?
Ndiyo maana kawambia pale TRA kuna wapinzani; na kwamba sababu za yeye kufutwa ni kwa sababu aliinga mkono CCM. Hivyo wapinzani wanamchukia, na mawakala wao kwenye serikali wanatumia nafasi zao kumkomoa. Tunajua TRA wamejaa wachagga ambao wengi ni CHADEMA NA WANAFANYA HIVYO KWA KIBURI KABISA KWA KAULI MBIU- MLIICHAGUA CCM NGOJA MUONEDiamond aliiamimi upendeleo wa kutolipa kodi aliopewa kutokana na yeye kutumika kuwapumbaza Watanzania kupitia fani yake ya muziki, ungeendelea milele?
TRA wafuatilie kodi zote ambazo hazikulipwa, ikiwa ni pamoja na za miaka ya nyuma ambapo alikuwa halipi.
Namkumbuka Mheshimiwa Lowasa alikua anapenda kuiga kauli ya Waziri Mkuu Mwenzake wa Zamani UK...Tony Blair "EDUCATION, EDUCATION, EDUCATION"Diamond ana maana gani kusema anajiuliza kama pale TRA kuna mtu wa chama pinzani?
Kwamba kwake wapinzani ndio wenye roho mbaya?
Kwa hiyo kauli yake, huyu mtu hata kama yanamkuta lakini ni kama bado ana mentality ya kujipendekeza kwa CCM, ameleta suala lake public ili kutafuta huruma tu kwa watanzania.
Wakifanya hivyo anaweza ata kuikana Escalade/Rolls Royce yake na kukiri kwamba ni Musso iliyovalishwa Ganda la Escalade 😂😂😂Diamond aliiamimi upendeleo wa kutolipa kodi aliopewa kutokana na yeye kutumika kuwapumbaza Watanzania kupitia fani yake ya muziki, ungeendelea milele?
TRA wafuatilie kodi zote ambazo hazikulipwa, ikiwa ni pamoja na za miaka ya nyuma ambapo alikuwa halipi.
Anajikomba tu ccmDiamond ana maana gani kusema anajiuliza kama pale TRA kuna mtu wa chama pinzani?
Kwamba kwake wapinzani ndio wenye roho mbaya?
Kwa hiyo kauli yake, huyu mtu hata kama yanamkuta lakini ni kama bado ana mentality ya kujipendekeza kwa CCM, ameleta suala lake public ili kutafuta huruma tu kwa watanzania.
F Kabisa huyuMjinga Sana huyo, afungiwe akaunti lawama awapelekee upinzani.
Anajikomba ccmKauli za mondi eti Upinzani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpmbv sana huyuHuyo jamaa ni mpumbavu sana hana akili tena hao TRA wamshughulikie mpaka akili zimrudi ndo atajua kwanin chadema wanapigania katiba mpya mjinga huyo
Yaani kudaiwa kodi tu kashaanza kuhisi TRA kuna chadema🤣🤣Huyo jamaa ni mpumbavu sana hana akili tena hao TRA wamshughulikie mpaka akili zimrudi ndo atajua kwanin chadema wanapigania katiba mpya mjinga huyo
Huna hoja unachanganya mambo. Yeye anajitambulisha kama mwana ccm sasa chadema wakimsema mpinzani wao kosa liko wapi? Ona anavyoisigina TRA eti kuna wapinzani?CHADEMA na viongozi wake lazima waelewe ni utoto kulazimisha watu wasio wanasiasa ku support movement zao hadharani.
Diamond kachanganganyikiwa🤣🤣🤣Huu ni ujinga na kutaka sifa za bure- yaani malalamiko ya hatua za kijinga zinazofanywa na taasisi za srikali yameanzishwa na upinzani?! Mbona miaka yote watu wanaoguswa wanalalamika. Wakati wa kipindi cha mikingamo tena kikikrusha na RTD Sugu alikuwepo? Hata hiyo CHADEMA ilikuwepo?