Diamond hawa ndio wabongo, chukua ushauri wangu

Duh!!! Yani Mimi nimwonee wivu naseeb... Kwa umalaya,dharau,kujicfu,mpenda skendo au kwa lipi?? Me nadhani wanaomshabikia wamesharogwa vbaya sana... MTU ambaye anajiskia sip siri ananipa hasira... Eti mbeya hakuna hotel ya kulala?? Na kwao kigoma zipo?? Zaid ya lake Tanganyika?? Amesahau alivyokua anauza vocha?? Ata hizo hotelhakuwahi waza kuwa atakuja lala?? Kamweee ucsahau ulipotoka jamani... Leo yeye ndo wakumsaidi as Alikibar eti kwa kuomba korabo?!... Kama Alikibar amendharau hivo sijui wewe unajifanya shabiki anakuchukuliaje,! I think anakuchukulia kama vile ndala za kuendea chooni!! To hell na huyo Diamond wenu....!!! Guys I think we have to THINK BIG.. kama vipi mind your own issues,mana kama kazomewa tayari tushapata jibu.. Poleni kwa nyie mafuasi wake... Ila msije mkaiga mambo nimemaliza... Ucnijibu cjaulza swali hapo...ukijbu basi kimekutachi sana!! Usije na kihele hele chako kama ndugu wa mume....
 
Kipindi ray c anakuja kwa kasi walianza kumponda sana komando...mara mbaya mara hajui kukata mara vile...matokeo yake wamebaki na aibu komando bado yupo palepale

alafu kweli umenikumbusha, walishajaribu kumpambanisha Ray C na jide? wakasemaga jide ana sura ngumu sijui makeup zinadunda, mara jide anakiuno kugumu, hakizunguki kama cha RC, na kipindi hicho magazeti yalimuandika sana yakifukunyua umri wake, lakini uliza hapa kwanini kipindi kile jide aliandikwa sana, usikie majibu yake, all most all yatakuwa ni ya kufeva upande wake tu hutaskia atakaesema alikua anatafuta kick?? kwa daimond akichapishwa anatafuta kick.
 

tenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ni hivo yani ndugu yangu..... Nilivomzalendo wa mkoani kwetu Mimi afu MTU kama Naseeb akapatukanee!.... Aendeleeeee tu kumwiga Michael Jackson...

aisee nna asilimia nyingi naseeb anasoma comments za jf atabadilika tu
 
mimi nadhani Diamond kwa sasa ndio msaani anaye vizuri zaidi hapa bongo. Ushauri bora kabisa kwake kwa sasa ni kuanza kuwekeza awe na miradi ambayo itaweza kumuingizia pesa hata kama atakuwa ameshuka kimziki kuna wasanii wengi wa ndani na nje ya nchi walikuwa wanafanya vizuri kipindi cha nyuma ila sasa ni kawaida sana wale waliokumbuka kuwekeza sasa hivi wanakula kuku kwa mrija wale waliojisahau sasa hivi ni walinzi
 

Ana wekeza kwenye vitobo.....
 

Izo ishu za kubeba madawa hawazisemi tena siku izi baada ya kuona hazina mashiko tena. Kila kitu kipo wazi sasa roho mbaya zinawasumbua.
 
Last edited by a moderator:

Sijawai kuona akili za ajabu namna hii....yani kuwa na roho ya kwa nini ndio kuthink big ?? ukiwa na roho mbaya hautakuja kufanikiwa kamwe utaishia kuroga wenzio tu.
 

Nimeipenda sana hii, hongera sana Matumbo. Mungu akuzidishie maneno na fikra pevu za kutia watu moyo. Diamond ni mbonge la msanii, watasema sana lkn watachoka. Nina wasanii watatu hapa Tanzania, mmoja ni marehemu sasa Kanumba, Diamond na Q Chilla. Watz tuna roho mbaya sana. Baadhi ya wabongo hawapendi watu walio chini waone wanakwea ngazi kama Diamond, wanapenda kuona wale waliochini wakibaki kuwapigia magoti na kuwasujudia. Hawa ndio wabongo mwanangu!!!
 

Ndugu yangu atafanya yote hayo ila mchawi uwa harudi nyuma..akiamua kukuwangia hakosi sababu.
 
hujajibu swali, masanja anayo hela zaidi yao mbona hachukiwi????????/ na kipindi diamond alikuwa anashangaliwa alikuwa na maisha mabovu?
Tujuze wewe kwanza... wewe binafsi au familia yako, Diamomd amewafanyia nini? Kwamba eti Masanja mbona hachukiwi sio hoja ya msingi.
 
Diamond tunakupenda sana na kazi zako tunazinunua sana. Kuzomewa kitu gani, kazomewa raisi wa nchi sembuse Diamond. Kwanza sio kama ni ya kweli kwani hii ilipangwa tu na wakora!
 
matumbo umemaliza kila kitu... kinachowasumbua watu humu ni wivu wa kijinga! Mara kwa mara humu watu nawauliza wao binafsi au familia zao wamefanywa nini na Diamond wote hawana majibu kuonesha wazi kwamba kinachowasumbua ni wivu!!! Mara oh, Diamond ana dharau wakati anaekuambia hivyo hajawahi hata mara moja kukaa jpo jirani tu na Diamond... mtu unabaki kujiuliza hizo dharau kaziona wapi... kumbe kasikia... ukichanganya na roho kutu na ya korosho basi inakuwa ndo mada yake!

But all in all, ni mwendawazimu tu atakayekataa kwamba Diamond kwa sasa yupo top... kwamba eti ameshuka kwavile tu kuna haters walioamua kuzomea ni kichekesho! Ajabu haters walianza kuzomea hata kabla Diamond mwenyewe hajatokea... mtu unajiuliza sasa hawa wanazomea nini!!! Yaani ilikuwa ni sawa na kusema hata uki-perform kwa high standard namna gani lazima tukuzomee... which means, si kwamba watu walizomea kv Diamond hakuwa na kiwango bali ilikuwa ni lazima wazomee no matter what!
 
Last edited by a moderator:
ukitaka kuwa star lazima ukubali changamoto cha uanastar .......huwezi kuwa star hata siku moja bila kukumbana na changamoto za wanaokutizama!
 

Mmh sina comment apa, ila yote maisha tu,kuna watu behind this drama, kwan mama ubaya akuwepo jaman mpka azomewe hivyo? Au roho ziliwauma kitu cha x6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…