miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Mmh sina comment apa, ila yote maisha tu,kuna watu behind this drama, kwan mama ubaya akuwepo jaman mpka azomewe hivyo? Au roho ziliwauma kitu cha x6
Mti wenye matunda ndio upigwao mawe, ukiona watu wana chuki sana ,wivu sana,wanakuongelea sana,ujue kuna kitu umewazidi mbali mnoooooo
una njaa dada, nenda kale
Sijawai kuona akili za ajabu namna hii....yani kuwa na roho ya kwa nini ndio kuthink big ?? ukiwa na roho mbaya hautakuja kufanikiwa kamwe utaishia kuroga wenzio tu.
mnyaki dada umeongea kweli i like ua comment
Tujuze wewe kwanza... wewe binafsi au familia yako, Diamomd amewafanyia nini? Kwamba eti Masanja mbona hachukiwi sio hoja ya msingi.
Diamond piga mzigo achana na wabana pua. ...
mimi na familia yangu tulikuwa tunanunua vocha kwake zamani, kuna jingine la ziada?
Mmh sina comment apa, ila yote maisha tu,kuna watu behind this drama, kwan mama ubaya akuwepo jaman mpka azomewe hivyo? Au roho ziliwauma kitu cha x6
pole ssna shosti yanguu
ungeenda juzi kumpa sapoti binamu
Mmh sina comment apa, ila yote maisha tu,kuna watu behind this drama, kwan mama ubaya akuwepo jaman mpka azomewe hivyo? Au roho ziliwauma kitu cha x6
Jibu lake unaloo hebu Masanja aanze kushindanishwa na mtu yeyote maarufu lazima yamkute hayo ya kuchukiwa na kuzomewaaa,kwanza huwezi kupendwa na watu wote hiyo haipooo
mimi na familia yangu tulikuwa tunanunua vocha kwake zamani, kuna jingine la ziada?
mimi na familia yangu tulikuwa tunanunua vocha kwake zamani, kuna jingine la ziada?
hujajibu swali, masanja anayo hela zaidi yao mbona hachukiwi????????/ na kipindi diamond alikuwa anashangaliwa alikuwa na maisha mabovu?
Hakuwepo bina yaan ilikua ni noumaaaaaa, hata kaka yako Davido hakupata shangwe hivyoooo
Aelewe nini umeandika upuuzi mtupu, mbona kabla ya Fiesta hukuja hapa kutokwa na povu lote hili?
Diamond ana ndimu nyingi akupe moja ulambe.