Diamond hawa ndio wabongo, chukua ushauri wangu

Diamond hawa ndio wabongo, chukua ushauri wangu

Mmh sina comment apa, ila yote maisha tu,kuna watu behind this drama, kwan mama ubaya akuwepo jaman mpka azomewe hivyo? Au roho ziliwauma kitu cha x6

Hakuna lolote......watu walikuwa wanamshtua kuwa anapoelekea sipo
 
Mti wenye matunda ndio upigwao mawe, ukiona watu wana chuki sana ,wivu sana,wanakuongelea sana,ujue kuna kitu umewazidi mbali mnoooooo

Labda kwa mtazamo wako. Na siyo kweli kuwa watu wana chuki kiivyo na huyo Almasi. Ila ukileta dharau, utajibiwa tu, na tayari kakumbushwa kutokujisahau sana. Ajifunze!
 
wabongo bwana kwa fitina majungu uchawi dharau kashfa ni nomaaa uyo diamond kiukweli ana ipeperusha bendera ya nchi huko magharibi ya mbali angalau watu wanajua kuna tanzania leo hii mnamtukana na kumzomea mbona huyo kiba wenu ali pataga shavu lile la one8 hakufika popote ndo kwanza alifia pale huyu mnyonge wawatu alie toka maisha duni kawakosea nini kutwa yupo midomoni mmemgeuza mswaki mtoto wawatu lol! i hate dat ila MUNGU akishakujaalia no body can say no so to all haters endeleeni huyo kipaji kapewa na Muumba nivigumu kumshusha labda mumkate pumz miroho mibaya badalamkae mfikirie mtazifanyia nini familia zenu na nchi yenu mme kaa kumjadili diamond lol mnaroho za shetani nyie badilikeni.
 
I've never been diamond's fan... Lakini tangu hiyo juzi nimeamini kuwa watz sio ndugu zako. Ukifanya yako usiwawaze watz. Hawata-imbrace mafanikio yako. Watakuporomosha mfe wote. Ukifanya yako kimataifa, Peperusha bendera yako. F**k watz na bendera yao.
 
Sijawai kuona akili za ajabu namna hii....yani kuwa na roho ya kwa nini ndio kuthink big ?? ukiwa na roho mbaya hautakuja kufanikiwa kamwe utaishia kuroga wenzio tu.

Kama wewe na roho mbaya yako yakumsapoti diamond anaetengua maadili na kuwagaragaza wanawake mila siku.. Acha uhobwe wewe stuka.....
 
Tujuze wewe kwanza... wewe binafsi au familia yako, Diamomd amewafanyia nini? Kwamba eti Masanja mbona hachukiwi sio hoja ya msingi.

mimi na familia yangu tulikuwa tunanunua vocha kwake zamani, kuna jingine la ziada?
 
mimi na familia yangu tulikuwa tunanunua vocha kwake zamani, kuna jingine la ziada?

Duh... Safi sana!!! Leo lazma tuwachoshe hawa... Tania kuzomewa wewe... Cheki wanavotoka povu kama vile midomo yao walisukutulia omo...
 
Mmh sina comment apa, ila yote maisha tu,kuna watu behind this drama, kwan mama ubaya akuwepo jaman mpka azomewe hivyo? Au roho ziliwauma kitu cha x6

binamu sijakuona
pole sana juzi leaders mmekalia kitu
 
Mmh sina comment apa, ila yote maisha tu,kuna watu behind this drama, kwan mama ubaya akuwepo jaman mpka azomewe hivyo? Au roho ziliwauma kitu cha x6

Hakuwepo bina yaan ilikua ni noumaaaaaa, hata kaka yako Davido hakupata shangwe hivyoooo
 
Jibu lake unaloo hebu Masanja aanze kushindanishwa na mtu yeyote maarufu lazima yamkute hayo ya kuchukiwa na kuzomewaaa,kwanza huwezi kupendwa na watu wote hiyo haipooo

By ze way media media ndio sababu kiba hana kosa kama kaitwa kwenye media hawezi kataa au hawezi jichagulia maswali, kutompenda MTU kiafrica ni nature tuu nadhani hata wewe kuna watu huwapendi na hauna sababu. Cha msingi hapo Diamond kawa icon yetu Tumsuport atuwakilishe zaidi .nampenda Kiba kwa kazi anazofanya nyingi ziko poa napenda asiharibiwe na baadhi yawapuuzi .nampenda diamond hasa anapokua on the stage anajituma saana na anamaanisha na kuithamini kazi yake BT nje ya Hapo simkubali .na nimempigia kula ya Cola ili aendelee tuwakilisha
 
mimi na familia yangu tulikuwa tunanunua vocha kwake zamani, kuna jingine la ziada?

MAATOPE 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mbavu zangu
 
Wanaolia lia humu na kujifanya wanamhurumia diamond ni mashabiki wake, mbona tulikuwa hatupumui humu mnavyomponda alikiba humu,kumbe kibao ikiwageukia inawauma,ya diamond mwacheni diamond kama mnajifanya mnamind mambo yenu,hao ni kama watani wa jadi,mashabiki wa timu moja wanapozomea wachezaji wa timu nyingine pia ni ushabiki,kama mlishindwa kumshabikia akazomewa mnalia nini sasa!
 
hujajibu swali, masanja anayo hela zaidi yao mbona hachukiwi????????/ na kipindi diamond alikuwa anashangaliwa alikuwa na maisha mabovu?

Mali ya mtu anaijua Mwenye nayo na siyo vyombo vya habari?!
 
Back
Top Bottom