Diamond hawa ndio wabongo, chukua ushauri wangu

Diamond hawa ndio wabongo, chukua ushauri wangu

Izo ishu za kubeba madawa hawazisemi tena siku izi baada ya kuona hazina mashiko tena. Kila kitu kipo wazi sasa roho mbaya zinawasumbua.

Okay mkuu! Nakukumbusha tu ishu za madawa huwa hazisemwi hovyo hovyo. Nikuhabarishe tu hata kama hutaki, wasanii wote wanaoenda nje na kurudi muda wa siku kadhaa ni biashara ya madawa. Cha muhimu uki make piga kimya
 
Uwe mnyaki au mfaranyaki, I don't care... inatosha tu kufahamu kwamba wewe ni mnyaki dada, basi... what else? Usijichekeshe, nitafute wewe... usije ukajikuta unapiga teke fuko la vumba, shauri zako!

Hhhhhhaaaa eti mfaranyaki lo
 
Pole weweeee!!!!! Buuuuuuuuu buuuuuuuuuu afu walisemaje tena????? Au ukusikia chacha na wewe nichimulie mbona Mimi chimulia wewe??? Ahaaaa wewe ukwenda ungeenda ungeona wewe akati aboss ako wewe anatamani lia Mimi mpaka Leo nimeshika zile sauti za buuuuuuu!! Buuuuuuuuuu!! Mimi ningezimia ningekua boss wako
ujinga tu…sasa kwa hiyo fiesta kiba ameengiza kiasi gani cha pesa na diamond ameingiza nini? Diamond bado jupo juu na ataendelea kuwa juu
 
Tungeionaje hiyo picha kama siyo kujitangaza kwenyewe????
By the way hivi alishahamiaga.......

Tatizo baadhi ya waTZ tuna maroho ya kimaskini sana yani sana hatupendi kumuona mtu yuko
on peak eti wamemzomea kisa Diamond ana mishauzi sasa kama ana mashauzi ni kwa pesa zake alizostruggle
nazo wakati wenyewe usiku wamepumzisha pumbu zao kitandani mwenzio alikua anakata viuno on the stage ili
pesa hata ya kubadilisha mboga sasa Leo hii yuko juu mnataka kumuangusha na zomea zomea zenu... Wa mbili
havai moja huu ni wakati wa Diamond,

Justin beiber mwenyewe sahv anachukiwa na mashabiki wa Mzik usa kwasababu ya tabia zake chafu,who is diamond.?
 
hahahahaaa, labda tule tukahawa tunakowekwa kwenye tuvikombe kama ndonya ya mmakonde! Na tule tukashata ndo tumaneno twako twenyewe!

Hhhhhhaaaaaq loooo bas yaishe leo stak kucheka kabisaaqaq
 
hahahahaaa, labda tule tukahawa tunakowekwa kwenye tuvikombe kama ndonya ya mmakonde! Na tule tukashata ndo tumaneno twako twenyewe!

NasDaz mi mpaka sahv sielewi umepagawa nini..
mimi ninafurahia alikiba kumfunika diamond kwenye show..
Je ni kosa.?

Wewe unabishana eti waTZ wanachuki na diamond kisa ana mafanikio,nkakuuliza kwanini wasimchukie MBWANA SAMATA,JAY DEE,HASHIM THABEET.???

HUTOI MAJIBU YA KUELEWEKA ZAIDI YA KULALAMA BILA MSINGI WOWOTE.!!!!!

Tatzo nini.???
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaa... aisee we jamaa kwa kupinda maneno u hodari! Nimesema mnachukia kwa ajili ya mafanikio yake au nimesema mna wivu na chuki zisizo na msingi? By the way, huyo Samatta kwani ametengenezewa rival wake? What about Hasheem Thabit... ametengenezewa rival? Chuki za watu huwa zinaanza pale watu wanapotengeneza rivals! Kama umesahau kuhusu Jide, labda nikukumbushe kwamba hata yeye alikumbana na hiyo hadha watu walivyoanza kukuza bifu kati yake na mwana-FA! By the way, hayo maswali unayosema umeniuliza, saa ngapi umeniuliza? Au ume-panic jombaa? Hivi kaswali kadogo kama hako kangekosa jibu? In contrast, nikurejeshee rundo la maswali ambayo nimekuuliza na hujajibu hata moja zaidi tu ya kukanusha kama lile la Kiba kusema yeye ndie kam-release Diamond? Tafuta clip ya Sporah Show kisa sikiliza kuanzia dakika ya 25:30.
 
Hhhhhhaaaaaq loooo bas yaishe leo stak kucheka kabisaaqaq
Mnh! Makubwa haya sasa... hutaki kucheka, kisa? Unaomboleza na Swahibu Diamond au na heaven on desert? Watu bhana, mtu kaja na kanyimbo kake kamoja eti ndo tayari ameshamshusha mtu mwenye minyimbo kibao ambayo bado ina-hit!
 
Last edited by a moderator:
Watanzania siku zote wana wivu wa ajabu mtu ukipata mafanikio kwa muda mfupi majungu yataanza,walianza kumuita Freemason wameona imeshindikana sasa hivi wanatafuta kila njia.

Kitu ambacho nawambia mafanikio hayaji kwa urahis Diamond kapiga sana kuwa hapo alipo.

Wabongo mshaanza na kumsema Masanja mara kumuita Tapeli na Freemason mshindwe nendeni mbarali muone kijana anavyolima mpunga.

Wivu si kitu kizuri,wivu mzuri ni wa kutaka uwe kama yeye si kupiga majungu ashuke

Yaani juhudi anazofanya Diamond hawazioni na kuwashauri wengine/ vijana akiwemo huyo Ali Kiba ambaye angekuwa na juhudi naamini nae angefika mbali. Watanzania tuna bahati mbaya ya kuridhika mapema. Kwa alipofika Diamond walahi ingekuwa wengine wasingejisumbua kucheza wangewaachia madansa wake, lakini Diamond anajelewa, na anaelewa ana ka 'trade mark' kake fulani kauchezaji ambako kanavutia watu hata mtu akikiiga hawezi kukapatia. Diamond kaza buti, aidha ingia pia kuigiza tena sasa hivi, video yako nakwambia utauza sana as unajua kuact believe me ( refer video ya Mbagala- unajua kuact).
 
Ifike mahali watanzania, tuwe tunapenda vya ki kwetu kwetu na tuwe wazalendo kiukweli mimi sio shabiki wa diamond but I support harakati zake za kuupeleka mbele muziki wetu huu wa bongo flavour, na kuufanya usikike kimataifa and that's good kimuziki hasa vocal huwez kumfananisha ali k na diamond lakn ni ukweli usiopngika kua kimafanikio ya muziki diaomond amwemwacha alikiba kwa sehemu, sasa nachoona huu sio ,muda wa kujenga chuki bali wa kuwasapoti wote hawa wanamuziki wetu wa nyumbani ili wazidi kuutangaza muziki wetu hui ufike mbali zaid believe me chuki hizi tunazozijenga sisi kama mashabiki zina effect katika maisha yao ya kimuziki kwa hawa mafahali wawili let's support them diamond akiingia kwenye tuzo za BET tuungane kuilete tuzo nyumban akiingia tuzo za MAMA tuungane kuileta tuzo nyumban hvy hvy pia tufanye kwa ali k na wengine ndo tunaupaisha hivyo muziki wetu uende mbali jamani together tunawakilisha
 
Watanzania siku zote wana wivu wa ajabu mtu ukipata mafanikio kwa muda mfupi majungu yataanza,walianza kumuita Freemason wameona imeshindikana sasa hivi wanatafuta kila njia.

Kitu ambacho nawambia mafanikio hayaji kwa urahis Diamond kapiga sana kuwa hapo alipo.

Wabongo mshaanza na kumsema Masanja mara kumuita Tapeli na Freemason mshindwe nendeni mbarali muone kijana anavyolima mpunga.

Wivu si kitu kizuri,wivu mzuri ni wa kutaka uwe kama yeye si kupiga majungu ashuke

Yaani juhudi anazofanya Diamond hawazioni na kuwashauri wengine/ vijana akiwemo huyo Ali Kiba ambaye angekuwa na juhudi naamini nae angefika mbali. Watanzania tuna bahati mbaya ya kuridhika mapema. Kwa alipofika Diamond walahi ingekuwa wengine wasingejisumbua kucheza wangewaachia madansa wake, lakini Diamond anajelewa, na anaelewa ana ka 'trade mark' kake fulani kauchezaji ambako kanavutia watu hata mtu akikiiga hawezi kukapatia. Diamond kaza buti, aidha ingia pia kuigiza tena sasa hivi, video yako nakwambia utauza sana as unajua kuact believe me ( refer video ya Mbagala- unajua kuact).
 
mbeya hakuna hotel ya mimi kulala- domondo
niko tayari kumsaidia ali kiba kolabo kama akiniomba - domondo

wabongo hawapendi dahrau,mbona mengi hazomewi ,mbona bakhresa hazomewi kama ishu ni mpunga
 
Back
Top Bottom