Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui nn kilitokea kumbeDiamond ni mkali...aache masifa ya kijinga...inawezekana kifafa kimeathiri ubongo wake...maake aliwahi shikwa na kifafa na kudondoka toka gorofan pale Impala Hotel...Arusha.
Diamond yuko juu sana jose anabebwa sana serekali yakediamond haingizi maguu kwa chameleone
inawezekana diamond mzuri mkuu inategemea unaangalia category gani. so chameleone anatungiwa na kuimbiwa na serikali yake? kwa mziki mzuri kamilioni yupo juuDiamond yuko juu sana jose anabebwa sana serekali yake
Ndio maana wanamuomba collabo eeh?Huyo anaejiita dimond watu huku sauzi wanamuona kama kimba la Jana
watu gani?!Huyo anaejiita dimond watu huku sauzi wanamuona kama kimba la Jana