Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mondi mkali. Full stop
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh c kwa chamilion kkNa hii ndio njia rahis ya kutafuta fame kwa East Africa.Huyu mtoto wa tandale wengi wanamtumia ku-polish majina yao
Hebu tuanze kwa kuangalia gharama za show zao,who is the most paid per show!diamond haingizi maguu kwa chameleone
Anazingua tuChameleone anashindwa kumheshimu shemeji yake?
khadija kopaHebu tuanze kwa kuangalia gharama za show zao,who is the most paid per show!
Nailed it Doctor ,Diamond is way overrated
Chameleone anamshinda Diamond kwa pesa tu (Kwa kuwa Jamaa kaanza game kitambo)
Ila kipi kingine anamshinda Diamond. Mhh fan base, no. Kipi kingine?
Umevurugwakhadija kopa
Diamond is overrated.
Chameleon is even more overrated than Diamond.
Naweza kuandika review inayoanzia uwezo wa kila mmoja kutumia sauti mpaka production wanazotumia kuthibitisha hilo.
Na hakuna anayeweza kumgusa Ali Kiba kimuziki kati yao, labda mashauzi tu ya kuwa kwenye magazeti kila siku.
Diamond is overrated.
Chameleon is even more overrated than Diamond.
Naweza kuandika review inayoanzia uwezo wa kila mmoja kutumia sauti mpaka production wanazotumia kuthibitisha hilo.
Na hakuna anayeweza kumgusa Ali Kiba kimuziki kati yao, labda mashauzi tu ya kuwa kwenye magazeti kila siku.
You nailed it mkuu!!!Kujaza stadiums hata Diamond anaweza kujaza Kenya na Uganda...
Chamilion namuona mkali kuliko Diamond lakini si kwa kigezo cha kujaza stadiums....
Hata Mr Nice alijaza stadiums East Africa.....je alikuwa mkali kuliko wote?
Nailed it Doctor ,Diamond is way overrated
diamond haingizi maguu kwa chameleone
yes that's true
Huyo anaejiita dimond watu huku sauzi wanamuona kama kimba la Jana
Jose anajua mpaka anakera nyimbo zake zote wanaimba Africa masharik na kati wakubwa kwa watoto + hana majivuno kama ya waswahili ni msanii Bora Africa mashariki kwa miaka 15
Yes, I agree with him
CHUKI na WIVU ni hatari kwa afya ya UBONGO..!Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu (In Magu's voice) Kinyonga ni hatari zaidi ya Almasi..
It's more like Diamond anajua kuji market kwenye vyombo vya habari awe gumzo kila sehemu, hii inatengeneza a snowball effect.Nakumbuka Ben pol naye ameshawahi kusema "Ali Kiba is overrated"...
Teh...
Kuhusu diamond...
Swali: yuko overrated na nani mashabiki,vyombo vya habari,serikali au wasanii wenzake..!?
Kukaza au kutokaza sauti si kipimo cha uimbaji.Kiba sauti anayo ila hakazi!ndio hapo anapoboa