Diamond is overrated - Jose Chameleone

Diamond is overrated - Jose Chameleone

It's more like Diamond anajua kuji market kwenye vyombo vya habari awe gumzo kila sehemu, hii inatengeneza a snowball effect.

Kuna wanamziki kama Mr. Nice wamepata majina makubwa kwa promo tu. Now Diamond is not Mr. Nice, hata hiyo promo kuipata inabidi uwe na kitu kinachoonekana kwanza, lakini kwa maoni yangu anapata promo zaidi ya stahili yake kimuziki na Ali Kiba amemzidi kimuziki.
Upo SAHIHI mkuu..!
Vipi kwa Ben pol na Ali kiba...
Nani amemzidi mwenzake KIMUZIKI..!!?
 
It's more like Diamond anajua kuji market kwenye vyombo vya habari awe gumzo kila sehemu, hii inatengeneza a snowball effect.
Hili suala la kwamba the reason behind ni kwamba anajua kuji-market tunalikuza! Hivi huyo Diamond anatumia channels zipi za kuji-market ambazo wenzake hawazitumii?! Ni mwanamuziki yupi Tanzania hii especially hawa walio top ambae hatumii social media tena very aggressively kujitangaza? Ni nani asiyetumia Instagram, Twitter, Faceboook and the like? Huyo Diamond anatumia Radio stations zipi ambazo wengine hawazitumii?

Ukweli usemwe wazi; the guy is hardworking; PERIOD! The guy is always very hungry to move one step forward; huo ndio ukweli wenyewe! Jamaa anaipenda kazi yake na yupo tayari ku-spend more and more kuifanya kazi yake kuwa bora zaidi-b hii ndio siri ya Diamond! Watu mnajifanya tu kusahau lakini huyu dogo tangia aingie kwenye game hajawahi kujipweteka; tangu siku ame-release Nenda Kamwambie hadi hii Kidogo ya juzi! Na tangia akiwa huko huko chini; maneo kadhaa kama vile eti anatumia Uchawi yamekuwa yakiwesemwa dhidi yake; hii inaonesha wazi kwamba tangu zamani amekuwa very successful kiasi cha watu kuhusisha mafanikio yake na uchawi! Nakumbuka siku moja, almost 5 years ago kuna jamaa mmoja anajiita Ustaadh Abdallah alihojiwa Channel 5 akidai yeye ndo anamfanya Diamond kuwa juu na kv anamletea jeuri; LAZIMA amshushe! Miaka inaenda jamaa yupo pale pale!! Na kv ni hardworking, amekuwa akijenga Empire year after year kv tangia aingie kwenye game, hajawahi kupotea tofauti na hao wengine! Movement zake kwenye game ni CONSISTENT contrary na wengine! Wanamuziki karibu wote walioingia kwenye game kabla ya 2010 ni watu wa kuja na kutoka; hawana consistent na matokeo yake wanapoteza mashabiki! Hata wewe ukiwa very serious na consistent hata kwenye biashara ya nyanya; lazima utatusua tu na kujenga empire!

Kwahiyo the reason why yupo pale ni kwamba the guy is hardworking; hakurupuki! Haya mambo kwamba huyu eti anajua kuimba kuliko yule ni mambo ambayo hayawezi kuwa na jibu kv even honest judgment (contrary na hatred judgment) can be influenced by personal taste; PERIOD!
 
Sasa unachokataa nini na unachokubali nini?

Mtu aliye hardworking naturally ataji promote na kuwa strategic zaidi ya mtu anayetegemea kipaji chake tu.

You are making my point.
 
Mbona Chameleon aliomba msamaha kwa Diamond
 
East africa sioni wa kumfikia Almasi, huo mziki wa Kinyonga hauwezi kuingia anga za kimataifa. Ni regional zaidi, kikwazo ambacho Almasi amevuka.
 
Sasa unachokataa nini na unachokubali nini?

Mtu aliye hardworking naturally ataji promote na kuwa strategic zaidi ya mtu anayetegemea kipaji chake tu.

You are making my point.
Hoja ni kwamba hakuna asiyeji-promote manake hiyo ndiyo base ya argument yako! Tofauti ya msingi kati ya Diamond na hao wengine ni kwamba the guy is hardworking; PERIOD!
 
Hakuna asiye ji promote, hiyo ni base ya argument yangu, umepata wapi wazo hilo?
 
Sina muda wa kubishana, bishana na post yako mwenyewe:
It's more like Diamond anajua kuji market kwenye vyombo vya habari awe gumzo kila sehemu, hii inatengeneza a snowball effect.

Kuna wanamziki kama Mr. Nice wamepata majina makubwa kwa promo tu. Now Diamond is not Mr. Nice, hata hiyo promo kuipata inabidi uwe na kitu kinachoonekana kwanza, lakini kwa maoni yangu anapata promo zaidi ya stahili yake kimuziki na Ali Kiba amemzidi kimuziki.
 
Sina muda wa kubishana, bishana na post yako mwenyewe:
Huna muda wa ku bishana bishana na post yangu mwenyewe wakati unainukuu?
Ukishainukuu tu una muda wa kubishana.
Ungekuwa huna muda wa kubishana usi ngenukuu.

Unajua tofauti ya kusema Diamond anajua kuji promote na kusema hakuna asiyejua kujipromote?
Wapi nimeandika hakuna asiyejua kujipromote? Unaweza kunioa maandishi hayo?
Au unatoa tafsiri yako potofu kutika maandishi yangu?

Unafahamu kwamba semi hizo mbili ni tofauti na hazilingani?
Unafahamu kwamba kung'ang'aniza kwamba semi hizi mbili ni sawa ni kuidhihirishia dunia kwamba hujafuzu somo la ufahamu?
 
Iwe Chameleon kasema au la, the truth is Diamond is waaay over rated.....He is a good businessman, amejitahidi kuwa na team nzuri kuanzia dancers mpaka management.....But when we talk about good music, ni wa kawaida saaana
 
Ukitaka ufeli katika kitu chochote ktk maisha amini ww una KIPAJI au AKILI alafu akasahau KUJITUMA lazima utachemka. Kuna watu wanavipaji lkn hawajitumi na Kuna watu Wana akili lkn hawajitumi hivi hushangai mtu form four ana one 9 au ya 7 lkn matokeo ya form six anakuja kupitwa na mtu mwenye three MAFANIKIO ALWAYS YAPO KWA WANAOJITUMA na SI KWA WENYE AKILI NA VIPAJI hata ktk biblia Kuna mistari inasema "ombeni mtapewa tafuteni (jitumeni) mtapata" kwa hiyo mimi si shangai DIAMOND kuwa msanii bora EA kwa sababu moja jamaa ANAJITUMA na ana NIDHAM ya hali ya juu na ndio maana anafanikiwa, alafu kuhusu ishu ya chameleons yy mwenyewe alipinga kwa hakutamka maneno hayo, tuacheni uzushi usio na msingi.
 
Ukimsema vibaya Diamond ukiwa Kenya utapigwa bure, Kenya anakubarika sana NA Rose Mhando. Ukweli Chamillion akubali Kila kitabu NA zama zake.
 
kaukweli flan hv ambako tunaona aibu kukakubali...!
 
Back
Top Bottom