Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo SAHIHI mkuu..!It's more like Diamond anajua kuji market kwenye vyombo vya habari awe gumzo kila sehemu, hii inatengeneza a snowball effect.
Kuna wanamziki kama Mr. Nice wamepata majina makubwa kwa promo tu. Now Diamond is not Mr. Nice, hata hiyo promo kuipata inabidi uwe na kitu kinachoonekana kwanza, lakini kwa maoni yangu anapata promo zaidi ya stahili yake kimuziki na Ali Kiba amemzidi kimuziki.
Hili suala la kwamba the reason behind ni kwamba anajua kuji-market tunalikuza! Hivi huyo Diamond anatumia channels zipi za kuji-market ambazo wenzake hawazitumii?! Ni mwanamuziki yupi Tanzania hii especially hawa walio top ambae hatumii social media tena very aggressively kujitangaza? Ni nani asiyetumia Instagram, Twitter, Faceboook and the like? Huyo Diamond anatumia Radio stations zipi ambazo wengine hawazitumii?It's more like Diamond anajua kuji market kwenye vyombo vya habari awe gumzo kila sehemu, hii inatengeneza a snowball effect.
Sasa unachokataa nini na unachokubali nini?Hili suala la kwamba the reason behind ni kwamba anajua kuji-market tunalikuza! Hivi huyo Diamond anatumia channels zipi za kuji-market ambazo wenzake hawazitumii?! Ni mwanamuziki yupi Tanzania hii especially hawa walio top ambae hatumii social media tena very aggressively kujitangaza? Ni nani asiyetumia Instagram, Twitter, Faceboook and the like? Huyo Diamond anatumia Radio stations zipi ambazo wengine hawazitumii?
Ukweli usemwe wazi; the guy is hardworking; PERIOD! The guy is always very hungry to move one step forward; huo ndio ukweli wenyewe! Jamaa anaipenda kazi yake na yupo tayari ku-spend more and more kuifanya kazi yake kuwa bora zaidi-b hii ndio siri ya Diamond! Watu mnajifanya tu kusahau lakini huyu dogo tangia aingie kwenye game hajawahi kujipweteka; tangu siku ame-release Nenda Kamwambie hadi hii Kidogo ya juzi! Na tangia akiwa huko huko chini; maneo kadhaa kama vile eti anatumia Uchawi yamekuwa yakiwesemwa dhidi yake; hii inaonesha wazi kwamba tangu zamani amekuwa very successful kiasi cha watu kuhusisha mafanikio yake na uchawi! Nakumbuka siku moja, almost 5 years ago kuna jamaa mmoja anajiita Ustaadh Abdallah alihojiwa Channel 5 akidai yeye ndo anamfanya Diamond kuwa juu na kv anamletea jeuri; LAZIMA amshushe! Miaka inaenda jamaa yupo pale pale!! Na kv ni hardworking, amekuwa akijenga Empire year after year kv tangia aingie kwenye game, hajawahi kupotea tofauti na hao wengine! Movement zake kwenye game ni CONSISTENT contrary na wengine! Wanamuziki karibu wote walioingia kwenye game kabla ya 2010 ni watu wa kuja na kutoka; hawana consistent na matokeo yake wanapoteza mashabiki! Hata wewe ukiwa very serious na consistent hata kwenye biashara ya nyanya; lazima utatusua tu na kujenga empire!
Kwahiyo the reason why yupo pale ni kwamba the guy is hardworking; hakurupuki! Haya mambo kwamba huyu eti anajua kuimba kuliko yule ni mambo ambayo hayawezi kuwa na jibu kv even honest judgment (contrary na hatred judgment) can be influenced by personal taste; PERIOD!
kubana pua
Chameleone anamshinda Diamond kwa pesa tu (Kwa kuwa Jamaa kaanza game kitambo)
Ila kipi kingine anamshinda Diamond. Mhh fan base, no. Kipi kingine?
Wa kawaida sanaaaaHuyo anaejiita dimond watu huku sauzi wanamuona kama kimba la Jana
Hoja ni kwamba hakuna asiyeji-promote manake hiyo ndiyo base ya argument yako! Tofauti ya msingi kati ya Diamond na hao wengine ni kwamba the guy is hardworking; PERIOD!Sasa unachokataa nini na unachokubali nini?
Mtu aliye hardworking naturally ataji promote na kuwa strategic zaidi ya mtu anayetegemea kipaji chake tu.
You are making my point.
Hakuna asiye ji promote, hiyo ni base ya argument yangu, umepata wapi wazo hilo?Hoja ni kwamba hakuna asiyeji-promote manake hiyo ndiyo base ya argument yako! Tofauti ya msingi kati ya Diamond na hao wengine ni kwamba the guy is hardworking; PERIOD!
Sina muda wa kubishana, bishana na post yako mwenyewe:Hakuna asiye ji promote, hiyo ni base ya argument yangu, umepata wapi wazo hilo?
It's more like Diamond anajua kuji market kwenye vyombo vya habari awe gumzo kila sehemu, hii inatengeneza a snowball effect.
Kuna wanamziki kama Mr. Nice wamepata majina makubwa kwa promo tu. Now Diamond is not Mr. Nice, hata hiyo promo kuipata inabidi uwe na kitu kinachoonekana kwanza, lakini kwa maoni yangu anapata promo zaidi ya stahili yake kimuziki na Ali Kiba amemzidi kimuziki.
Huna muda wa ku bishana bishana na post yangu mwenyewe wakati unainukuu?Sina muda wa kubishana, bishana na post yako mwenyewe:
[emoji3] [emoji3] [emoji23]Huyo anaejiita dimond watu huku sauzi wanamuona kama kimba la Jana
Acha kumfananisha chamilion na vitu vya kijingaDiamond yuko juu sana jose anabebwa sana serekali yake