tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,482
sina team, tena diamond nampenda kuliko kiba, ila ukweli lazima usemweTeam Kiba mtaumwaaaa sana Na Dawa hakuna mpaka Dawa hewa ziondolewee sokoni.
Mkuu watasema mpaka kina neyo, chris n.k tusubir utaona[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Diamond wa kawaida sana..
watanzania hawakawii kusema diamond ni zaidi ya 2face idibia.. yaani kuna watu wanafikiri diamond ni mkali kuliko wasinii wote afrika..na ndio maana diamond alipokosa tuzo ya bet..walinuna wiki nzima
Unataka nijibu swali jepesi la nje ya mada au maswali unayoona yapo ndani ya mada?Hivi unaposema Alikiba kamzidi diamond kimziki ua mnamaanisha kamzidi kwenye upande gani sasa...ebu naomba jibu....maana utasikia kamzidi kamzidi ukiuliza kamzidi nini hakuna jibu
Hao walioanza mziki zamani mbona wameshindwa kufika alipofika diamond...?
Basi ngoja niulize swali jepesi tu nje ya mada ..kati ya Alikiba na Benpol nani kamzidi mwenzie..?
Ahaa, kumbe hivyo.Hujelewa nilichomaanisha,sijasema kukaza sauti!Ninazungumzia ni kukaza kwenye game,hajitumi ipasavyo!Yaani hatumii uwezo wake at its full capacity!Ni kama mashine inaweza kutoa umeme MW 100,halafu wewe kila siku unaioperate kwenye MW 50!
Mwenzake Diamond anajituma halafu ni visionary!Hio ndio tofauti yao kubwa
Jibu utakachoona sahihi sio swali juu ya swaliUnataka nijibu swali jepesi la nje ya mada au maswali unayoona yapo ndani ya mada?
Pia, una hakika hilo swali unalosema la nje ya mada lipo nje ya mada?
All we care about is results!Wewe unaweza ukawa na akili sana,ukawa unatumia muda mchache sana kusoma lakini unapasua!Kuna mwingine anaelewa uwezo wake ni wa wastani!Hivyo akawa anasoma sana na anafaulu!Ikaja paper,huyu anayekesha akapasua kuliko wewe unayesoma kidogo japo wote mmefauli!Kila mtu atamsifia yule aliyesoma sana na kufaulu kuliko mwenzake!Ahaa, kumbe hivyo.
Nakubaliana nawe kabisa.
Ali Kiba tatizo lake ndilo hilo. Nishawahi kusema hapa.
Na mimi siwezi kusem kwamba mtu ambaye muziki anaujua lakini tatizo hajui/hawezi/hataki kujipromote, siwezi kusema mtu huyu haujui muziki zaidi ya mtu ambaye kimuziki anamzidi, ila anazidiwa kwenye mambo ya promotion na ku hustle.
Ali Kiba mtoto wa Kigoma, ana uMwinyi Mwinyi fulani wa Kigoma wa kutegemea kudra na kipaji chake. Mambo ya "Inshallah, if it was meant to be, it will be". Kuna kipindi kirefu anaweza kujificha tu anafanya mambo yake.Husikii wimbo mpya wala collabo.
Diamond mtoto wa Tandale, kila siku kwenye magazeti, kujichanganya etc.
Kufikiri kwamba kumzidi mtu promo ni kumzidi muziki ni sawa na kusema bidhaa fulani ni nzuri zaidi ya nyingine kwa sababu inatangazwa sana.
Diamond mtoto wa Tandale, kila siku kwenye magazeti, kujichanganya etc.
Kufikiri kwamba kumzidi mtu promo ni kumzidi muziki ni sawa na kusema bidhaa fulani ni nzuri zaidi ya nyingine kwa sababu inatangazwa sana.
Ni kweli Kiongozi,Enzi za Jose chameleon zimepita.Manake alitamba pamoja na akina Mr Nice, enzi zao Afrika mashariki yote ilikuwa yao.Mwenzao Diamond amekwenda next level zaidi kwa kuishika Afrika nzima.Nafikiri muda wake umeisha sasa....!!!
Sahihi kabisa. Kwa namna yoyote Chameleon yuko mbali sana kulinganisha na Diamond..... Lakini hii ya kujaza uwanja sidhani kama ni kipimo sahihi.Kujaza stadiums hata Diamond anaweza kujaza Kenya na Uganda...
Chamilion namuona mkali kuliko Diamond lakini si kwa kigezo cha kujaza stadiums....
Hata Mr Nice alijaza stadiums East Africa.....je alikuwa mkali kuliko wote?
Huyu dogo anatisha east atrika yote hskuna wa kumkamata hapo alipoNi kweli Kiongozi,Enzi za Jose chameleon zimepita.Manake alitamba pamoja na akina Mr Nice, enzi zao Afrika mashariki yote ilikuwa yao.Mwenzao Diamond amekwenda next level zaidi kwa kuishika Afrika nzima.