Diamond kainuliwa na Mungu mwenyewe. Binadamu hawezi kumshusha

Nashangaa mbona Kanumba katika kipindi Cha uhai wake hakufunguliwa Uzi mzuri Kama huu wa Monday Hapa jf.

R. I .P Kanumba
 
Nashangaa mbona Kanumba katika kipindi Cha uhai wake hakufunguliwa Uzi mzuri Kama huu wa Monday Hapa jf.

R. I .P Kanumba
Mahitaji ya nyakati na alidumu kwenye game kwa muda mfupi ila angeendelea kuwepo angekuwa level moja na Mond
 
mkuu, naheshimu maoni yako bt hili sio jukwaa la mahubiri na thread haihusu mahubiri.
 
My DM replies mkuu @ Mshana Jr.
 
mkuu, naheshimu maoni yako bt hili sio jukwaa la mahubiri na thread haihusu mahubiri.
Sawa, ila ningetukana usingeniuliza kama hili ni jukwaa sahihi, kwanza sijahubiri nimeeleza inavyosema biblia juu ya yale yamtokayo mtu kinywani kwake sa sijui mahubiri yapo wapi?
 
Sawa, ila ningetukana usingeniuliza kama hili ni jukwaa sahihi, kwanza sijahubiri nimeeleza inavyosema biblia juu ya yale yamtokayo mtu kinywani kwake sa sijui mahubiri yapo wapi?
thread haina mlengo wa kidini, hivo sidhani kama neno la mungu lilikua pahala pake.
 
Thibitisha Mungu yupo kweli.
comment za namna hii hunichekesha sana, hua nahisi wanaozitoa hawapo serious wanatania tu.

Mungu ni mfano wa fikra, fikra hazionekani bt hudhihiri ktk picha ya vitendo, mfano fikra hazionekani bt hutusaidia kuunda vifaa tiba ajili ya kuona magonjwa mbali mbali yasoonekana kwa macho ya mwili, hivo kitu kisichoonekana kwa macho ya mwili, haimaanishi kua haki-exist.
 
mkuu, naheshimu maoni yako bt hili sio jukwaa la mahubiri na thread haihusu mahubiri.
Unafanana sana na aliyepiga marufuku wateule kuhubiri ndani ya mabasi, hivi kuna shida gani mahubiri yakiingizwa kwa huu uzi?

Kuna aya kibao ndani ya Biblia zinazoongelea tabia mbaya na nzuri za wanadamu hivyo lazima tukumbushane ndugu.

Leo hii ukisoma aya inayozungumzia ujinga wako basi usiufanye moyo kuwa mgumu 😁
 
Hakika neno Mungu linachukuliwa poa sana.Mambo ya Dunia tena machafu unamhusisha aliyekuumba?πŸ˜³πŸ™Œ
 
Hakika neno Mungu linachukuliwa poa sana.Mambo ya Dunia tena machafu unamhusisha aliyekuumba?[emoji15][emoji119]
Mungu anajua na kuona kila kinachoendelea duniani.. Tusihukumu tusije tukahukumiwa... Mond kapewa bure na Mola wake wengine huvipata kupitia makafara makubwa na kwa gharama kubwa
 
Mkuu na wewe umeanza kuwa chawa ama namna gani!?
Kuandika facts pamoja na analysis yake si uchawa,, je angekuwa amendika analysis ya maisha ya Rostam Aziz au Aliko Dangote ungemuita chawa wa hao watu? Au nawe uko kwenye haya mambo ya 'timu'?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…