Diamond kama unataka ndoa, muoe Hamisa Mobetto

Mtu kumpa mimba haina maana kuwa yupo committed! Mnaweza kuwa hata kwenye ndoa na msiwe committed! Mtu aliye committed KATU hawezi kuwa tayari kuachana na yule aliye committed nae! Unfortunately kuna wengine wanadhani ndoa ndio commitment kumbe ndoa ni makaratasi tu yale! Kinyume cake, mtu kama hayupo kwenye ndoa ndo wanadhani sio committed kumbe commitment ni zaidi ya ndoa na watoto! Na ndio maana Diamond alimwambia wazi Hamisa kwamba hawezi kumwacha Zari! Hiyo ndiyo commitment
 
Silent killer yule ndugu yangu hv mwanaume anaporwaje?[emoji2] [emoji2] [emoji2] watoto watatu hajaona mke sahihi kwake!
Kwahiyo Majizo ni kicheche kumzidi Diamond?

Nimetumia neno kumpora kv Hamisa na Zuhura walikuwa ni marafiki
 
Mmhhh!!diamond sio muoaji
Sio Diamond; wasanii majority sio waoaji wala waolewaji! Si umewaona Prof J na Sugu na wenyewe! Wote hawa wameoa wakiwa almost 40! Kiba na kujifanya kote kwamba he's a good boy; nae anaishia kupiga mimba tu na kukimbia!

Halafu wa wasichana wa mjini ndo unakuta wanapenda sana kujipeleka huku wakijua fika wakipigwa mimba tu; wanakimbiwa!
 
Mkuu mtoa mada usimchagulie mke wa kuoa,sikatai unamshauri sababu atakae kwenda kuishinae ni yeye na sio wewe. Over
 
[emoji2] [emoji2] ndoa ni commitment sana mimba lazima wategeshe si wanataka kusecure future za watoto wao
 
[emoji2] [emoji2] ndoa ni commitment sana mimba lazima wategeshe si wanataka kusecure future za watoto wao
Ndoa ilitakiwa kuwa commitment lakini sio ndoa zote ni commitment! Zingine zinakuwa sio commitment from the start na zingine zinakuwa sio commitment with time!

Au hujawahi kusikia mwanaume anaacha familia yake na mke wa ndoa na anafanya kazi ya kushinda kwa kimada! 20% ya salary inaenda home na 80% inaenda kwa kimada! Na hapo mwanaume yupo tayari kuachana na wife kuliko kuachana na kimada! Sasa hapo utasema kuna commitment?!
 
sawa
 
Asipofuata ushauri huu atakuja kujutia.
Utulivu wa mwanamke hutegemea sana treatment anayoipata kwa man wake. believe me.
 
Wewe unaweza kuoa demu aliyejichubua.???
Yani unakuwa na uhakika kabsa kwamba akizeeka atakuwa mwekundu.??


Wewe unaweza kuoa.???
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nashuka kibiti mie nimechoka na safari!
 
Mkuu nimekuelewa umeongea kwa fact Sana
 
Industry ya music haihitaji uoe kijimke kisichojulikana mkuu, la sivyo uhai wa umaarufu wako utakuwa mfupi mno. Hawa wasanii waache waoane wenyewe kwa wenyewe.
 
Hajamuoa tayari mauzauza ya kupelekwa mahakamani yameshaanza, hapo ni mwendo kama wa Ronaldo tu, unapiga mimba, unachukua Machalii wako unawalea, midemu yenyewe ni midege haikawii kukupukutisha mali ukiiweka ndani, anavyofanya Dai sawa tu
 
1.hamisa mswahili sana

2.anatafuta fame tuu maana hajazaa na hohehahe Anangalia title

3.hajatoa sio kwa sababu katulia alidhamiria vizuri Sana Hakuna bahati mbaya pale na alijua

3.wife material kurusha picha za faragha mitandaoni hell NO

4.kutwa party tuu Yule mtoto alivotolewa arobain penginepo ndo aliachishwa ziwa japo Sina uhakika hata kama amenyonyeshwa

5.hana akili wala busara

6[emoji28][emoji23][emoji23] niishie hapo kwa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…