Mtu kumpa mimba haina maana kuwa yupo committed! Mnaweza kuwa hata kwenye ndoa na msiwe committed! Mtu aliye committed KATU hawezi kuwa tayari kuachana na yule aliye committed nae! Unfortunately kuna wengine wanadhani ndoa ndio commitment kumbe ndoa ni makaratasi tu yale! Kinyume cake, mtu kama hayupo kwenye ndoa ndo wanadhani sio committed kumbe commitment ni zaidi ya ndoa na watoto! Na ndio maana Diamond alimwambia wazi Hamisa kwamba hawezi kumwacha Zari! Hiyo ndiyo commitmentHuuuu ni uongoooo!! Hamisa alimuiba Majizo kwa rafik yake, hy mdada akiwa na mimba hamisa akaaanza kutoka na shemeji yake(Majizo) so ni kajizi ka wanaume za watu mjini, na Lulu alichomfanyia ni marudio ya aliyoyafanya yy. Ni kawaida yake kukwapua wanaume wanaotengenezwa na wanawake wanaojielewa.