Diamond kama unataka ndoa, muoe Hamisa Mobetto

Diamond kama unataka ndoa, muoe Hamisa Mobetto

Huuuu ni uongoooo!! Hamisa alimuiba Majizo kwa rafik yake, hy mdada akiwa na mimba hamisa akaaanza kutoka na shemeji yake(Majizo) so ni kajizi ka wanaume za watu mjini, na Lulu alichomfanyia ni marudio ya aliyoyafanya yy. Ni kawaida yake kukwapua wanaume wanaotengenezwa na wanawake wanaojielewa.
Mtu kumpa mimba haina maana kuwa yupo committed! Mnaweza kuwa hata kwenye ndoa na msiwe committed! Mtu aliye committed KATU hawezi kuwa tayari kuachana na yule aliye committed nae! Unfortunately kuna wengine wanadhani ndoa ndio commitment kumbe ndoa ni makaratasi tu yale! Kinyume cake, mtu kama hayupo kwenye ndoa ndo wanadhani sio committed kumbe commitment ni zaidi ya ndoa na watoto! Na ndio maana Diamond alimwambia wazi Hamisa kwamba hawezi kumwacha Zari! Hiyo ndiyo commitment
 
Silent killer yule ndugu yangu hv mwanaume anaporwaje?[emoji2] [emoji2] [emoji2] watoto watatu hajaona mke sahihi kwake!
Kwahiyo Majizo ni kicheche kumzidi Diamond?

Nimetumia neno kumpora kv Hamisa na Zuhura walikuwa ni marafiki
 
Mmhhh!!diamond sio muoaji
Sio Diamond; wasanii majority sio waoaji wala waolewaji! Si umewaona Prof J na Sugu na wenyewe! Wote hawa wameoa wakiwa almost 40! Kiba na kujifanya kote kwamba he's a good boy; nae anaishia kupiga mimba tu na kukimbia!

Halafu wa wasichana wa mjini ndo unakuta wanapenda sana kujipeleka huku wakijua fika wakipigwa mimba tu; wanakimbiwa!
 
Mkuu mtoa mada usimchagulie mke wa kuoa,sikatai unamshauri sababu atakae kwenda kuishinae ni yeye na sio wewe. Over
 
Sio Diamond; wasanii majority sio waoaji wala waolewaji! Si umewaona Prof J na Sugu na wenyewe! Wote hawa wameoa wakiwa almost 40! Kiba na kujifanya kote kwamba he's a good boy; nae anaishia kupiga mimba tu kukimbia!

Halafu wa wasichana wa mjini ndo unakuta wanapenda sana kujipeleka huku wakijua fika wakipigwa mimba tu; wanakimbiwa!
[emoji2] [emoji2] ndoa ni commitment sana mimba lazima wategeshe si wanataka kusecure future za watoto wao
 
[emoji2] [emoji2] ndoa ni commitment sana mimba lazima wategeshe si wanataka kusecure future za watoto wao
Ndoa ilitakiwa kuwa commitment lakini sio ndoa zote ni commitment! Zingine zinakuwa sio commitment from the start na zingine zinakuwa sio commitment with time!

Au hujawahi kusikia mwanaume anaacha familia yake na mke wa ndoa na anafanya kazi ya kushinda kwa kimada! 20% ya salary inaenda home na 80% inaenda kwa kimada! Na hapo mwanaume yupo tayari kuachana na wife kuliko kuachana na kimada! Sasa hapo utasema kuna commitment?!
 
sawa
Vigezo vya Hamisa:
1. Ana umri mzuri kwako.

2. Anakupenda na wala hakupendei hela, coz wenye hela kukuzidi wapo wengi lakini kaamua kuwa na wewe kitambo.

3. Ni mzuri na ana mvuto.

4. Ni mama mwenye malengo ya familia, coz angekuwa mcharuko angetoa mimba, lakini kakubali kulea bila kujali carrier yake ya uanamitindo.

Ushauri wa bure bwana mdogo Diamond.
 
Asipofuata ushauri huu atakuja kujutia.
Utulivu wa mwanamke hutegemea sana treatment anayoipata kwa man wake. believe me.
 
Wewe unaweza kuoa demu aliyejichubua.???
Yani unakuwa na uhakika kabsa kwamba akizeeka atakuwa mwekundu.??


Wewe unaweza kuoa.???
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nashuka kibiti mie nimechoka na safari!
 
Ahhhhh hapana akili za kuambiwa changanya na zako kwnn akaoe instagramu aisee mwanamke anawaza party tu badala ya kupigana na maisha anapigana kumfanyia MTT sherehe kila siku she is not wife material,hafai kwa uzuri ni mzur kwl kwan unafikir kwnn wanamkataa wakishazaa kina majizo? Huyo zari munamuita bb umeona ivan alivyokuwa akililia warudiane? Chibu mwenyew akasema atakwenda south kwa goti....unadhani wanapenda k hapo? Hapo ni akili ndio zimewavutia! Zar anajielewa anajua shida n nn na anajua kuhaso kutafuta pia anawashauri wanaume wake mambo ya maendeleo!.. Zar aliwah kukataa birthday ya tiffa ya milions of money afu akamwambia chibu pesa aongezee kwenye nyumba chibu akaongezea pesa akanunua nyumba south!...hamisa angeweza hiyo?
Mkuu nimekuelewa umeongea kwa fact Sana
 
Ila pia kuishi na mwanamke mwenye watoto wote wale nao ni moyo, pia kumuoa demu ambae mabwana zake wa nyuma unawajua na niwashikaji wako ,hii nayo ngumu kweli.
Ushauri[emoji815] atafute mwanamke mwingine mdogo na asiyejulikana na asiwe kuwa na wingi wa scandals ,ikiwezekana amrudie DJ Penny
Industry ya music haihitaji uoe kijimke kisichojulikana mkuu, la sivyo uhai wa umaarufu wako utakuwa mfupi mno. Hawa wasanii waache waoane wenyewe kwa wenyewe.
 
Hajamuoa tayari mauzauza ya kupelekwa mahakamani yameshaanza, hapo ni mwendo kama wa Ronaldo tu, unapiga mimba, unachukua Machalii wako unawalea, midemu yenyewe ni midege haikawii kukupukutisha mali ukiiweka ndani, anavyofanya Dai sawa tu
 
1.hamisa mswahili sana

2.anatafuta fame tuu maana hajazaa na hohehahe Anangalia title

3.hajatoa sio kwa sababu katulia alidhamiria vizuri Sana Hakuna bahati mbaya pale na alijua

3.wife material kurusha picha za faragha mitandaoni hell NO

4.kutwa party tuu Yule mtoto alivotolewa arobain penginepo ndo aliachishwa ziwa japo Sina uhakika hata kama amenyonyeshwa

5.hana akili wala busara

6[emoji28][emoji23][emoji23] niishie hapo kwa leo
 
Back
Top Bottom