Diamond kama unataka ndoa, muoe Hamisa Mobetto

Mama Mobeto ameshaweka wazi..... Nataka mwanangu aolewe na mzungu!
 
Mwanamke mwenyewe kazaa watoto kwenye mafungu kama mchicha bado mnadai katulia hivi mleta post unawaza nini hasa kusema katulia.Unaelewa maana ya kutulia kweli wewe?.
 
mkuu kwenye maswala ya ndoa kumshauri mtu amuoe fulani nadhani ni kuingilia feeling za mtu yeye anajua akiwazacho thats why hadi sasa hajaoa
Kuna ndugu zangu yaan mjomba na mama mdogo walimshauri mdogo wao amuoe mwanamke fulani tena sio kumshauri walimshawishi kabisa akasikia la mkuu akaoa mwenzao hana tatizo ila wao ndio wanajuta kwanini walimshawishi amuoe, so mtoa post jiangalie usiwe wa kwanza kujutia
 
Polepolee kaoa kwanii anzee polepolee kwanzaa
 
Mwanamke akisha kukupeleka mahakani mwogope sana. Hakufai ata chembe,kila siku mtakuwa amkosekani kwa hakimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…