ntemintale
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 952
- 1,874
- Thread starter
- #161
Nenda jukwaa la biashara na uchumi.Si tunataka ushauri Wa hela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda jukwaa la biashara na uchumi.Si tunataka ushauri Wa hela.
Mama Mobeto ameshaweka wazi..... Nataka mwanangu aolewe na mzungu!Vigezo vya Hamisa:
1. Ana umri mzuri kwako.
2. Anakupenda na wala hakupendei hela, coz wenye hela kukuzidi wapo wengi lakini kaamua kuwa na wewe kitambo.
3. Ni mzuri na ana mvuto.
4. Ni mama mwenye malengo ya familia, coz angekuwa mcharuko angetoa mimba, lakini kakubali kulea bila kujali carrier yake ya uanamitindo.
Ushauri wa bure bwana mdogo Diamond.
View attachment 742122
Aliyeoa Bikra AJE Hapa tumuone. [emoji12]Mobeto kaliwa ovyo sana. Takataka
Kuna ndugu zangu yaan mjomba na mama mdogo walimshauri mdogo wao amuoe mwanamke fulani tena sio kumshauri walimshawishi kabisa akasikia la mkuu akaoa mwenzao hana tatizo ila wao ndio wanajuta kwanini walimshawishi amuoe, so mtoa post jiangalie usiwe wa kwanza kujutiamkuu kwenye maswala ya ndoa kumshauri mtu amuoe fulani nadhani ni kuingilia feeling za mtu yeye anajua akiwazacho thats why hadi sasa hajaoa
Polepolee kaoa kwanii anzee polepolee kwanzaaVigezo vya Hamisa:
1. Ana umri mzuri kwako.
2. Anakupenda na wala hakupendei hela, coz wenye hela kukuzidi wapo wengi lakini kaamua kuwa na wewe kitambo.
3. Ni mzuri na ana mvuto.
4. Ni mama mwenye malengo ya familia, coz angekuwa mcharuko angetoa mimba, lakini kakubali kulea bila kujali carrier yake ya uanamitindo.
Ushauri wa bure bwana mdogo Diamond.
View attachment 742122
Polepole na Shonza itapendezaPolepolee kaoa kwanii anzee polepolee kwanzaa
Mbona alimgegeda peku?Hamisa sio wife material
Haki ya mtu hupatikana mahakamani.Mwanamke akisha kukupeleka mahakani mwogope sana. Hakufai ata chembe,kila siku mtakuwa amkosekani kwa hakimu