Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
poa mkuuHata kiba hajaoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poa mkuuHata kiba hajaoa
UmenenaMwanamke anayeweza kuexpose picha na msgs zako kwenye jamii kwa nia yeyote ile HAFAI kua mke!
Umesema kuna wenye hela kumzidi Diamond, Ila hajawa nao NI KWELI, lakini kila Mguu unakiatu cha size yake na kila Malaya anabei yake NUKTA
Mbavu zangu mie!!!!Wewe unaweza kuoa demu aliyejichubua.???
Yani unakuwa na uhakika kabsa kwamba akizeeka atakuwa mwekundu.??
Wewe unaweza kuoa.???
Du!!!!Mwanaume kuoa akiwa na 28 ni kujinyima haki na kujipunguzia umri wa kuishi..binafsi namshauri asioe kwanza
Vigezo vya Hamisa:
1. Ana umri mzuri kwako.
2. Anakupenda na wala hakupendei hela, coz wenye hela kukuzidi wapo wengi lakini kaamua kuwa na wewe kitambo.
3. Ni mzuri na ana mvuto.
4. Ni mama mwenye malengo ya familia, coz angekuwa mcharuko angetoa mimba, lakini kakubali kulea bila kujali carrier yake ya uanamitindo.
Ushauri wa bure bwana mdogo Diamond.
How do we assess things to do with life? Mbona watu hawajielewi?Timu mobeto imehamia humu....
Mwanamke anayeweka picha mtandaoni baada kugegedana hana kitu kichwani,hakawii kusema una kibamia au hujui kugegeda,ni ziroVigezo vya Hamisa:
1. Ana umri mzuri kwako.
2. Anakupenda na wala hakupendei hela, coz wenye hela kukuzidi wapo wengi lakini kaamua kuwa na wewe kitambo.
3. Ni mzuri na ana mvuto.
4. Ni mama mwenye malengo ya familia, coz angekuwa mcharuko angetoa mimba, lakini kakubali kulea bila kujali carrier yake ya uanamitindo.
Ushauri wa bure bwana mdogo Diamond.
hua una maoni + sana, ila leo umeniangushaHivi kwa nini Diamond haoi ?? au kuna masharti amepewa?? Nini kinamzuia kuoa?
AnajipangaHivi kwa nini Diamond haoi ?? au kuna masharti amepewa?? Nini kinamzuia kuoa?
Umenifumbua machoAiseee kwann dai na sio majizo? Kumbuka hamisa ana watoto wawili baba tofauti so kama katulia kwann aliachwa na majizo?
Timu kibakuli huyooWewe bana yaani amuache mwanamke anaeweza chair board meeting amfuate huyo M-wewe nadhani unataka Diamond apotee ktk game
Kwli mkuuHow do we assess things to do with life? Mbona watu hawajielewi?
Na mwanamke kuolewa na umri gani ni kujinyima haki?Mwanaume kuoa akiwa na 28 ni kujinyima haki na kujipunguzia umri wa kuishi..binafsi namshauri asioe kwanza
40+Na mwanamke kuolewa na umri gani ni kujinyima haki?