Diamond kama unataka ndoa, muoe Hamisa Mobetto

Diamond kama unataka ndoa, muoe Hamisa Mobetto

Mwanamke anayeweza kuexpose picha na msgs zako kwenye jamii kwa nia yeyote ile HAFAI kua mke!

Umesema kuna wenye hela kumzidi Diamond, Ila hajawa nao NI KWELI, lakini kila Mguu unakiatu cha size yake na kila Malaya anabei yake NUKTA
Umenena
 
Vigezo vya Hamisa:
1. Ana umri mzuri kwako.

2. Anakupenda na wala hakupendei hela, coz wenye hela kukuzidi wapo wengi lakini kaamua kuwa na wewe kitambo.

3. Ni mzuri na ana mvuto.

4. Ni mama mwenye malengo ya familia, coz angekuwa mcharuko angetoa mimba, lakini kakubali kulea bila kujali carrier yake ya uanamitindo.

Ushauri wa bure bwana mdogo Diamond.

Mimi naona Diamond ' akikuoa ' Wewe ndiyo atakuwa kapata ' Mke ' safi kabisa na ' ndoa ' yenu itadumu daima milele amina Mkuu.
 
Mshaurini atafute mwanamke "fresh" badala ya kuparamia waliokwisha zalishwa na wanaume wenzie!
 
Vigezo vya Hamisa:
1. Ana umri mzuri kwako.

2. Anakupenda na wala hakupendei hela, coz wenye hela kukuzidi wapo wengi lakini kaamua kuwa na wewe kitambo.

3. Ni mzuri na ana mvuto.

4. Ni mama mwenye malengo ya familia, coz angekuwa mcharuko angetoa mimba, lakini kakubali kulea bila kujali carrier yake ya uanamitindo.

Ushauri wa bure bwana mdogo Diamond.
Mwanamke anayeweka picha mtandaoni baada kugegedana hana kitu kichwani,hakawii kusema una kibamia au hujui kugegeda,ni ziro
 
Ila kati ya mademu watakao mpasua kichwa Almasi ni huyu Mobeto. Ni mwanamke ambae hayuko tayari kushindwa na ingekuwa labda imetokea kwangu afu tayari nina ndoa ni dhahiri kwamba angehakikisha ndoa inavunjika ili yeye ashike hatamu sababu tu amezaa mtoto anaehusu... anyway hayo tuwaachie wao maana mapenzi ya wasanii nayo ni habari nyingine.
 
Back
Top Bottom