Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Minlitaka kumuomba baba mchugaji Gwajima amgeuze serengeti ya baridi nimywe na nyama choma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tena hiyo nyama iwe kiti moto
 
Diamond kakosea sanaa.....Asinge post chochotee yeye ni msanii kuongelewa iwe kwa ukweli au uongo yeye ni msanii inabidi aongeleweeee kilaaa mahalari sasa kumwambia akae kimya itamfanya Gwajima Ajione kama yeye hawezi kuambiwa chochote

Gwajima ni mtu mzima kufanya mambo ya kipuuzi kisa hataambiwa na Ataenda kanisani kusema ni ujingaa.....Mbona Nay anamsema wazi wazi na maisha yanaendaaa......Diamond kuna kipi atasemwaa ambacho sisi hatujakisia kwa wambea wa mitandaoni.....Diamond apige kaziiiiii

100% Nimeupenda wimbo wake na nina usupport 100% sichoki kuuludia kusikiliza
 
Kwahili mtoto wa ushwahilini kaonyesha hekima kuliko baba mchungaji.​
 
Kwahili mtoto wa ushwahilini kaonyesha hekima kuliko baba mchungaji.​
 
Picha feki... Jina feki... Kama wewe mwanamke wa shoka weka verified account uongee hayo unayosema... Au kesho nenda Ubungo kanisani ukatapike hizo mbege zako kama hatujakujua in out na michepuko yako yote
Hahaha umepanic ewe Daudi uliyezaliwa mwaka 1990.

Mbaya zaidi huyu diamond amesurrender anamuomba Gwaji msamaha
 
Gwajima Kashaona Akilii za watanzania Ziliko laliaaa.........Watanzania Wanalalamika maisha magumuuu halafu wao ndio wako mstari wa mbeleee kusikilizaa IBADA ZA KIPUUUZII na kutoa Sadakaaaa........ibada nzimaa ni kumsema mtuuu na sadakaaa sasa hiyo kitchen part au ibadaaa
 
Siku Dhambi kubwa ambayo nitaifanya na haitahitajii msamahaa ni kuja kuingia kwenye Kanisaa la Gwajimaa.... hiyo kwangu itakuwa dhambi kubwa sanaaa!! Hata dunia nzima Abakie yeye Nitaabudu vitu vingine alivyo umba Mungu ila sio kuingia kanisani kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…