Hajaliepuka sana maana mange atalianzisha mpaka akome....kanikera kumtetea konda vibaya heri angekaa kimyahaaaaaa mbavu zangu mambo.. Ivan Kesho angekuepo kwa wanafamilia ya ufufuo na uzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajaliepuka sana maana mange atalianzisha mpaka akome....kanikera kumtetea konda vibaya heri angekaa kimyahaaaaaa mbavu zangu mambo.. Ivan Kesho angekuepo kwa wanafamilia ya ufufuo na uzima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tena hiyo nyama iwe kiti motoMinlitaka kumuomba baba mchugaji Gwajima amgeuze serengeti ya baridi nimywe na nyama choma
Ndomo amesurrender shenzi kabisaKanikwazaa!
Angemuacha tu huyo mbwa kichaa kesho abweke tu
Kelele zake za kuongeza idadi ya sadaka tumezizoea
Ndomo amesurrender shenzi kabisa
Diamond ametumika kuimba fitina ambayo matokeo yake amejipatupa kwenye dimbwi la kinyesi kujaribu kumuokoa Bashite alafu wamezama wote.Watu wanakubali kutumika na Bashite mpaka vichwa vyao vinajaa ff.
[emoji23][emoji23] na mzee Abdul aletwe kanisani tumchangie harambee akatibiwe miguu yake India.yani kesho mzee baba atanogesha zaidi akisambaza vyeti vya DNA ya tiffa kanisa zima!
Kifasihi amekosea.Sioni kosa la diamond
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu hamchelewiHahahah![]()
![]()
![]()
Hahaha umepanic ewe Daudi uliyezaliwa mwaka 1990.Picha feki... Jina feki... Kama wewe mwanamke wa shoka weka verified account uongee hayo unayosema... Au kesho nenda Ubungo kanisani ukatapike hizo mbege zako kama hatujakujua in out na michepuko yako yote
Id fake, who are you?Simuhofu wala kumuogopa!