hahahahahaha na sadaka mshatenga, na simu mshapunguza video za whatsapp ipatikane nafasi mkarekodiMh Gwajima watu tushapiga pasi nguo za ibada kesho, naomba sana usituangushe.
[HASHTAG]#Jinokwajino[/HASHTAG]
Kwa hiyo hayo ndio yanamfanya awe wa maana?Jitokeze hadharani bila id fake na haya MANENO yako ya shobo uone kama next Sunday hutauza Gazeti. Cheza na wengine, Gwaji is noma bro!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpk Simba Leo kawa paka, chzea GwajiBoy wwHilo neno linanchekeshaga sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tusikubali bundle kwenda bure. Maana nilitaka ku download YouTube. Maombi yote yakeshoBaba askofu tafadhali tafadhali baada ya post yako nilijiunga na bundle la week nikuone live Ukiyeyesha diamond...
Dah nshaingia hasara
Askofu Hawezi kutuacha wakiwa kesho atapiga hata intro..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tusikubali bundle kwenda bure. Maana nilitaka ku download YouTube. Maombi yote yakesho
Tehe tehe tehe nahisi atakuwa na vyeti vya kuzaliwa vya kina nillanKWAHYO BABA TIFFA NA BABA NILLAN WATAKUWEPO SIO
Hata mimi nashangaa sana.Dah,,sasa anaogopa nini Diamond kutoka kwa Mzee huyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uzuri mchungaji hajawahi kutuangusha.. Single touch Double manifestation