Diamond kaniponza jamani

Diamond kaniponza jamani

kinyaa

Senior Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
155
Reaction score
91
Jana bwana nilikua na shemeji yenu tumekaaa mahali tunaangalia world cup ile mechi ya saa nne basi bwana nikahisi kuanza kuboreka nikachukua headfon nikawa nasikiliza mziki yeye akiwa busy na mpira,

Na yeye akahisi mimi kuboreka akachukua headfon na yeye asikilize kile nichokua nackiliza ,wakati anachukua ulikua wimbo mpya wa Diamond unapigwa,

Basi bwana mara tukaanza kuongea mambo ya wanamuziki,nikawa namsifia Diamond bwana kwamba bwana mdogo anajitahidi ameanzia mbali ila he is somewhere now anajuhudi kwenye mziki yeye akawa anamponda .

kweli sijui hajui kuimba sijui mshamba sisi akataka na mimi ni msupport,alivyoona nampa fact eeeee niliamsha hasira za kipare ,

Ananiambia kama unampenda huyo Diamond si akakuoe sasa umefuata nini kwangu,

kiukweli sijui mambo ya Damond kunioa yalifikaje,aliongea sheet nyingi kwakweli,yaani mpaka sahizi kanuna hata sms ya morning sijapata na si kawaida yake yaani,

Hebu niambie wakaka hiiii inakuaje maaana simwelewi kwakweli,

Na anajua mimi na celebrity sio kivile sina hata access nao kwamba nitaweza hata kua karibu nao ,atakua amepatwa na nini huyu mwanaume?
 
Hahahaha duh u made my morning ngoja wenyewe waje....
 
Ana lake jambo huyo.
Mkishajijua mna virundu wenye wivu uso na kichwa wala miguu muwe makini!!!
 
Aisee !! Wivu hadi kwawasanii! Haya mbembeleze!! Siku nyingine usirudie kumsifia hata joti!!
 
He has a point lakini.... wewe kwanini ulikomaa unamsifia domo wakati upo na mpenzio??? element za wivu na karoho kalikuwa kanamuuma... possible hujawahi kumsifia toka muanze relationship thats why anaumia..... usirudie the same mistake in future..... kinyaa
 
Last edited by a moderator:
Jamaa bado ana akili za kitoto ukweli Dai domo amepiga hatua na yuko vizuri mweleze mchizi aache wivu na sisi wanaume ukiona mkeo anamsifia mtu fulani basi jipange na utafute status zaidi ya anayesifiwa sio blah blah tu mjini
 
Mimi ni kijana wa kiume nina mpenz wangu ambaye tunapendana sana na tunatarajia kuoana lakini yeye ni mkubwa kwangu, je hili linawezekana kwa kuwa na mke anaekuzidi umri.
Ushauri wenu wakuu!

Age ain't a number! Kama unampenda na anakuheshimu, go after her!
 
Ana lake jambo huyo.
Mkishajijua mna virundu wenye wivu uso na kichwa wala miguu muwe makini!!!

Ni kweli unatakiwa kumsoma mwenzio hapendi nini na anapenda nini!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Back
Top Bottom