Diamond kaonesha msimamo sana kukataa kutumbuiza Qatar kwa bilioni 2

Diamond kaonesha msimamo sana kukataa kutumbuiza Qatar kwa bilioni 2

Huyu mwamba ana msimamo Sana. Walitaka kumpa bil 2 kuperform siku ya fainali jamaa akasema Kama Beckham amekula bil 200 kuwa balozi basi yeye apewe bil 4 jamaa wakakataa, Diamond naye akachomoa kuperform .
Huu ni mfano mzuri kwa wasanii wetu kuwa na msimamo na vipaji vyao.
Kwa nyimbo gani labda? Kwa uwezo gani? Nani ana muda nae. Huyo bado sana. Waandaaji ata kumfkiria tu hawawezi. Hana umuhimu huo.
 
Billion 2 zote hizo na wakati child support Kwa Mobetto anabwabwaja ovyo mitandaoni, misemo ya kuchamba kila kukicha
Chibu Dangote CEO Dr Honorary Doctorate PhD Professor Mzee wa kuloweka kisha kukataa watoto
 
Mkuu sina hakika kama
Becks kalipwa mkwanja wote huo ila inaweza kuwa ni kweli sababu yeye ni balozi wa Fifa Qatar yani waarabu ndio walimshawishi awatangaze zaidi sio Fifa waliomlipa
Hiyo taarifa ya Beckham kulipwa 200B ni sahihi?
Inakuwaje balozi alipwe mkwanja zaidi ya mara mbili ya mshindi wa WC yaani Argentina?
[/QUOTBecksBec
 
Billion 2 zote hizo na wakati child support Kwa Mobetto anabwabwaja ovyo mitandaoni, misemo ya kuchamba kila kukicha
Hata ingekuwa mimi nisingekubali kumlea mtoto wa mtu wakati baba wa mtoto yuko anauza simu.
 
Back
Top Bottom