Man Middo tz
Senior Member
- Sep 9, 2020
- 182
- 279
Yani huyu Diamond wa Tandale akatae b.2? kwa Brand gani worldwide kumzidi Beckham?Huyu mwamba ana msimamo sana. Walitaka kumpa bil 2 kuperform siku ya fainali jamaa akasema kama Beckham amekula bil 200 kuwa balozi basi yeye apewe bil 4 jamaa wakakataa, Diamond naye akachomoa kuperform.
Huu ni mfano mzuri kwa wasanii wetu kuwa na msimamo na vipaji vyao.