Diamond kaonesha msimamo sana kukataa kutumbuiza Qatar kwa bilioni 2

Hiyo taarifa ya Beckham kulipwa 200B ni sahihi?
Inakuwaje balozi alipwe mkwanja zaidi ya mara mbili ya mshindi wa WC yaani Argentina?
Kama mkataba wa Beckham ni kati yake na host nation(Qatar) na WC mkataba wao ni wa FIFA hilo linawezekana kabisa.
 
Sidhani kama Lina ukweli. Ila kama kweli amekataa Kwa sababu ya pesa, Kuna fursa kapoteza maana hio ilikua platform kubwa sana ya kujitangaza.
 
KUNA AKILI MGANDO KIBAO WANAKOMENTI KWA CHUKI NA HUSUDA,... SHIDA YA KUMFANANISHA MOND NA WAVUTA BANGI WA KIMAKONDE WANAOPAFOM SHOW ZA BURE MWEMBEYANGA NA TANGANYIKA PACKERS.
 
Sio chuki brazaa, wee unaamini wamemuita aka perfom kwenye fainali? Waache ma giant wotee huko wamfate mondi?

Mleta mada kaandika kama utani, sanuka
 
Huyu mwamba ana msimamo sana. Walitaka kumpa bil 2 kuperform siku ya fainali jamaa akasema kama Beckham amekula bil 200 kuwa balozi basi yeye apewe bil 4 jamaa wakakataa, Diamond naye akachomoa kuperform.

Huu ni mfano mzuri kwa wasanii wetu kuwa na msimamo na vipaji vyao.
Ongezea nyama post mkuu
 
Safi kabisa
 
Yaani mpk anakata tiketi na kuwalipia nakuwalipia wale machawa wake huko katar alikuwa bado hajui anaenda kuoafom kwa bei gani? Urongo huu. Hata bure angepafom.
 
Huyu mwamba ana msimamo sana. Walitaka kumpa bil 2 kuperform siku ya fainali jamaa akasema kama Beckham amekula bil 200 kuwa balozi basi yeye apewe bil 4 jamaa wakakataa, Diamond naye akachomoa kuperform.

Huu ni mfano mzuri kwa wasanii wetu kuwa na msimamo na vipaji vyao.

Siyo kweli ni uwongo wa hali ya juu sana walahi!
 
Huyu mwamba ana msimamo sana. Walitaka kumpa bil 2 kuperform siku ya fainali jamaa akasema kama Beckham amekula bil 200 kuwa balozi basi yeye apewe bil 4 jamaa wakakataa, Diamond naye akachomoa kuperform.

Huu ni mfano mzuri kwa wasanii wetu kuwa na msimamo na vipaji vyao.
inashangaza sana watu wanacomment bila kujua ukweli wa habari. We mleta uzi leta source ya habari yako.
 
Back
Top Bottom