Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Kado kitengo vipi..hawakumcheki?Ndio maana P Mawenge hakutaka hata kujibu DM yao kuhusu ombi lao la kumuita apafomu kwa 800M
ππHapa nadhani ni chai
Jamaa wanatuonaga mazuzu!Bilioni 2 my takleπππππ
Kado kitengo vipi..hawakumcheki?
πππNdio maana P Mawenge hakutaka hata kujibu DM yao kuhusu ombi lao la kumuita apafomu kwa 800M
Kwa nyimbo gani labda? Kwa uwezo gani? Nani ana muda nae. Huyo bado sana. Waandaaji ata kumfkiria tu hawawezi. Hana umuhimu huo.Huyu mwamba ana msimamo Sana. Walitaka kumpa bil 2 kuperform siku ya fainali jamaa akasema Kama Beckham amekula bil 200 kuwa balozi basi yeye apewe bil 4 jamaa wakakataa, Diamond naye akachomoa kuperform .
Huu ni mfano mzuri kwa wasanii wetu kuwa na msimamo na vipaji vyao.
Chibu Dangote CEO Dr Honorary Doctorate PhD Professor Mzee wa kuloweka kisha kukataa watotoBillion 2 zote hizo na wakati child support Kwa Mobetto anabwabwaja ovyo mitandaoni, misemo ya kuchamba kila kukicha
Hiyo taarifa ya Beckham kulipwa 200B ni sahihi?
Inakuwaje balozi alipwe mkwanja zaidi ya mara mbili ya mshindi wa WC yaani Argentina?
[/QUOTBecksBec
Hata ingekuwa mimi nisingekubali kumlea mtoto wa mtu wakati baba wa mtoto yuko anauza simu.Billion 2 zote hizo na wakati child support Kwa Mobetto anabwabwaja ovyo mitandaoni, misemo ya kuchamba kila kukicha