Diamond kaonesha msimamo sana kukataa kutumbuiza Qatar kwa bilioni 2

Yani huyu Diamond wa Tandale akatae b.2? kwa Brand gani worldwide kumzidi Beckham?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Katika ubora wako.
 
Sijui kwa Nini unatudanganya wenye akili,kwa hela gani aliyonayo naseeb mpaka akatae bilioni mbili?😳😳😳
 
Si mkapime DNA,au kwasababu ni star kila mtoto akiambiwa ni wake,akubali tu?
Acheni hizo.
Wakati analoweka hakuwaza anaweza kupigwa? Watu wanawaza kulipa Bills kutokea kina Bushoke design hizo
 
Kwamba Beckham alipwe pesa ndefu kuliko mshindi wa mashindano
 
Utajiri wa Nasibu Abdul unakadiriwa kufikia bilion 5. Sasa anakataaje bil 2 ambazo ni karibu nusu kabisa ya maisha yake yote ya utajiri!
 
Ku peform kwenye world cup final si tu ingempa pesa bali ingemfanya azidi kua maarufu na kupata project nying sna duniaini

Naamini kwa msaanii mwenye maono hata bure angeweza ku peform licha ya 2billion
 
Atakutoboa spika huyo diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…