Mkuu, mi nisaidie akili tu. Nichukue nafasi ya MO miaka 10 ijayo.Jidanganye hivyo hivyo, mali zako na Diamond ukijumlisha zote hazifiki hata robo ya mali zangu.
Mimi ni bendera la mbao, ni wabongo wachache sana, hawafiki kumi wanaonizidi kwa akili na mali
Ni katika ile Europe tour na ilipelekea mama kumsusa mkwe wake.
Mwanadada Mange Kimambi Mtanzania toka Los Angels Aliandika kwamba Petit man ambaye ametuhumiwa na uuzaji na utumiaji madawa. Lakini Mange Kimambi nimeona screenshots kwa whatsapp akisema Huyo Petit man wakuache amepigwa sana na Makonda kuanzia nyumbani kwake mpaka kituo cha polisi cha kati lakini leo nimeona video inayomuonesha Huyo ajiitaye Petit man akitembea vizuri tu je Anadanganya???View attachment 468185
Mimi huwa simlaumu Mange bali huwa nawapa lawama wanao muamini wakati wengi wanajua ni chizi tena huitaji kumpima.
Mange huropoka yale ambayo wengi wengependa kuyasikia kwa kipindi husika ndio maana wengi humuamini sana.
Mtu anaye amini habari za Mange anapaswa kufungwa kamba na kupimwa akili kwa lazima.
Hivi hizo πππ na :C:C:C zinamanisha nn naona watu wanapenda kuziwekaKama Mange ameshatuambia hatuwezi kubisha wala kukataaπππ
Hiyo ni emoji ambayo haijaja kama ilivyodhamiriwaHivi hizo πππ na :C:C:C zinamanisha nn naona watu wanapenda kuziweka
Kama mpaka leo bado anawatukana mitandaoni ni dhahiri wamemshindwaJitu flan malaya liko marekani linatumiwa umbea kwenye simu eti mnaliamini, Huyo Malaya si anapokea udaku tu hata wewe ukimtumia anapost, anajihakikishaiaje wakati yupo marekani.
Kwanza nawaza yani Serikali yote hii huwa anaitusi na viongozi wake, anawavua nguo, mnashindwa kutuma hata komamdoo mmoja tu wale wanaotuoneshaga mbwembwe Taifa wamlete huyu kenge?
Yani mnaweza mkamata Tundu Lissu na akili zake na alie madini katika nchi. Godbless lema kiongozi mwakilishi wa wananchi anaeota ndoto mnashindwa mkamata Malaya flani anaewavua nguo kweli?
Hao interpol kazi yao ni nn? Au Huyu bibi sio mchochezi
Sitaki kuamini mmemshindwa.
umeyajua lini hayo? wakati anamtukana lowasa lumumba nzima mlikuwa mnashangilia!Mimi huwa simlaumu Mange bali huwa nawapa lawama wanao muamini wakati wengi wanajua ni chizi tena huitaji kumpima.
Mange huropoka yale ambayo wengi wengependa kuyasikia kwa kipindi husika ndio maana wengi humuamini sana.
Mtu anaye amini habari za Mange anapaswa kufungwa kamba na kupimwa akili kwa lazima.