Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Jidanganye hivyo hivyo, mali zako na Diamond ukijumlisha zote hazifiki hata robo ya mali zangu.

Mimi ni bendera la mbao, ni wabongo wachache sana, hawafiki kumi wanaonizidi kwa akili na mali
Mkuu, mi nisaidie akili tu. Nichukue nafasi ya MO miaka 10 ijayo.
 
Ni katika ile Europe tour na ilipelekea mama kumsusa mkwe wake.

Ile Europe Tour jamaa walikamatwa na mzigo, so Rommy ikabidi awekwe pembeni kwa muda ili ikitokea ikasanuka ionekane yeye ndo alikuwa muhusika.

Walivyoona imekuwa kimya wakamrudisha, mstaafu ndo aliokoa jahazi, na mkulu wa sasa alitoa onyo kwamba biashara hiyo ife ndo maana unaona safari hata za kwenda kurekodi Bondeni zimepungua sana ukilinganisha na siku zileee
 
DSC_1917.jpg
 
ndio maana diamond hayupo karibu Sana na Romy Jon's siku hizi. itakuwa ishu hii ya ngada
 
Mwanadada Mange Kimambi Mtanzania toka Los Angels Aliandika kwamba Petit man ambaye ametuhumiwa na uuzaji na utumiaji madawa. Lakini Mange Kimambi nimeona screenshots kwa whatsapp akisema Huyo Petit man wakuache amepigwa sana na Makonda kuanzia nyumbani kwake mpaka kituo cha polisi cha kati lakini leo nimeona video inayomuonesha Huyo ajiitaye Petit man akitembea vizuri tu je Anadanganya???
Screenshot_2017-02-07-19-56-32.png
 
Mwanadada Mange Kimambi Mtanzania toka Los Angels Aliandika kwamba Petit man ambaye ametuhumiwa na uuzaji na utumiaji madawa. Lakini Mange Kimambi nimeona screenshots kwa whatsapp akisema Huyo Petit man wakuache amepigwa sana na Makonda kuanzia nyumbani kwake mpaka kituo cha polisi cha kati lakini leo nimeona video inayomuonesha Huyo ajiitaye Petit man akitembea vizuri tu je Anadanganya???View attachment 468185

Mange vitu vingi anaviripoti kimuhemuko, soma habari zake kama unataka kupumzisha Mwili sio akili
 
Mimi huwa simlaumu Mange bali huwa nawapa lawama wanao muamini wakati wengi wanajua ni chizi tena huitaji kumpima.
Mange huropoka yale ambayo wengi wengependa kuyasikia kwa kipindi husika ndio maana wengi humuamini sana.
Mtu anaye amini habari za Mange anapaswa kufungwa kamba na kupimwa akili kwa lazima.
 
"unabisha nini wakati Mange ametuambia"
 
Jitu flan malaya liko marekani linatumiwa umbea kwenye simu eti mnaliamini, Huyo Malaya si anapokea udaku tu hata wewe ukimtumia anapost, anajihakikishaiaje wakati yupo marekani.

Kwanza nawaza yani Serikali yote hii huwa anaitusi na viongozi wake, anawavua nguo, mnashindwa kutuma hata komamdoo mmoja tu wale wanaotuoneshaga mbwembwe Taifa wamlete huyu kenge?

Yani mnaweza mkamata Tundu Lissu na akili zake na alie madini katika nchi. Godbless lema kiongozi mwakilishi wa wananchi anaeota ndoto mnashindwa mkamata Malaya flani anaewavua nguo kweli?

Hao interpol kazi yao ni nn? Au Huyu bibi sio mchochezi

Sitaki kuamini mmemshindwa.
 
Kama mpaka leo bado anawatukana mitandaoni ni dhahiri wamemshindwa
 
Mimi huwa simlaumu Mange bali huwa nawapa lawama wanao muamini wakati wengi wanajua ni chizi tena huitaji kumpima.
Mange huropoka yale ambayo wengi wengependa kuyasikia kwa kipindi husika ndio maana wengi humuamini sana.
Mtu anaye amini habari za Mange anapaswa kufungwa kamba na kupimwa akili kwa lazima.
umeyajua lini hayo? wakati anamtukana lowasa lumumba nzima mlikuwa mnashangilia!
Unafiki huu sijui mtaacha lini?
 
Back
Top Bottom