Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

ameoa kwao
Kuoa sio tatizo kwa taarifa yako patiman na diamond no maji na mafuta hawapatani hats kidogo na hawana ukaribu hats kidogo ndo maana huwezi kumkuta petiman kwenye shughuli yoyote ya diamond I we white party, shows au hats shughuli za kifamilia sijui birthday au arobaini ya watoto wake
 
Hawawezi kumkuta mond na mzigo kwa sababu jamaa abebi mwenyewe... ye anabebesha watu kama kina Jones, we subiri jamaa wabanwe vizuri kama hawajamtaja boss wao.
 
Chaukucha sio unga! Kipande cha sigara cha mwisho kabisa wavutaji ndio wanajua tofauti na hapo unatudanganya tuu
Na Tangu lini sigara ikakuzimisha!? Anaimba nipe cha ukucha niaije zima" lini sigara ina zimisha. Kati ya sigara na unga kipi wanavuta kutumia Ukucha....???? Acheni mahaba jamani ndugu zenu tu hamuwatetei hivi but diamond povu linawatoka.
 
Hawawezi kumkuta mond na mzigo kwa sababu jamaa abebi mwenyewe... ye anabebesha watu kama kina Jones, we subiri jamaa wabanwe vizuri kama hawajamtaja boss wao.
Jonas? Jonas na diamond wamatembea pamoja sikuhizi? Nadhani hujamfuatilia diamond muda mrefu
 
Jonas? Jonas na diamond wamatembea pamoja sikuhizi? Nadhani hujamfuatilia diamond muda mrefu
Jonas yuko ndani baada ya kukutwa na mzigo mubashara... sasa kama wanatembea wote siku hizi kwa hiyo unanihakikishia huo mzigo Mond anaujua?
 
Endelea kusubiri kwendokasi Msata
Usitetee jambo linalosemwa kila kona maana ikija kuthibitika nawewe utaonekana ulikua part ya business.
Nimekushauri tulia tu wala tusilumbane mkuu time will tell.
Tatizo wewe una muamini Mond kisa ni msanii unayempenda
 
Hujui unachoongea mkuu
We we endelea kusubiri mwendokasi msata
 
Hujui unachoongea mkuu
We we endelea kusubiri mwendokasi msata
Wewe ndo hujui unachotetea.
Madawa wasanii wengi wanauza huyo Mond yupo kwenye orodha siku nyingi kasemwa semwa sasa kinachotafutwa ni details za kumtia hatiani sijui mwenzangu unatetea nini hapo?
 
Wewe ndo hujui unachotetea.
Madawa wasanii wengi wanauza huyo Mond yupo kwenye orodha siku nyingi kasemwa semwa sasa kinachotafutwa ni details za kumtia hatiani sijui mwenzangu unatetea nini hapo?
Endelea kusubiri mwendokasi msata
Utajiri wa diamond unajulikana ,kuanzia mikataba yake na TRA wameshapita kukata chao
Ndo maana nakwambia hujui unachoongea.
Eti kasemwa sana hahaha
 
Chaukucha sio unga! Kipande cha sigara cha mwisho kabisa wavutaji ndio wanajua tofauti na hapo unatudanganya tuu
Na wewe unaamini kuwa kisigara hicho mtu akikosa anaweza zima?.....

Ila kwa Diamond naomba iwe tetesi kwani amekuwa mfano wa wengi kupambana ili kufanikiwa atatuvunja moyo wengi sana....
Pia sasa ni kama alama ya taifa kashfa kwake pia ni doa kwa taifa....

Kama kweli nenda tuu segerea ukitoka Tiffah mkubwa na mamake kahamia kwa kwa staa mwingine sijui atakuwa Tekno ama Harmorapa...
 
Endelea kusubiri mwendokasi msata
Utajiri wa diamond unajulikana ,kuanzia mikataba yake na TRA wameshapita kukata chao
Ndo maana nakwambia hujui unachoongea.
Eti kasemwa sana hahaha
Kutetea watu uko vizuri endelea
 
Endelea kusubiri mwendokasi msata
Utajiri wa diamond unajulikana ,kuanzia mikataba yake na TRA wameshapita kukata chao
Ndo maana nakwambia hujui unachoongea.
Eti kasemwa sana hahaha
kweli kuna mashabiki uchwara wa Diamond
hivi utajiri wa mabua shambani ndio mnauhesabu?
ngoja kiangazi kimuingie? unga sio deal awekeze k2 kingine
kwa Makonda kafika mwisho,
sijawahi sikia wimbo uliomuingizia bali ni hizi za kupita km za kina karoli
 
Jamani ikumbukwe kuwa kuitwa polisi sio mkosaji, hivyo ata mondi akiwawekea dhamana washikaji wala hatoharibu image yake, ila kwa watu wanaoangalia karibu ndio itakuwa tatizo kwao, kwangu mm atakuwa amefanya jambo LA msingi mnooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…