Kwa taarifa yako diamond ashawekewa mitego Mara kibao pale airport na kumpekua hawajawahi kumkuta na hayo makitu.
Mara kibao huwa wanamueka kizuizini kumpekua hawampati na kitu , mara nyingi anapoenda au kutoka sauzi kuna watu wenye chuki nae huwa wanapeleka umbea airport lakini hawampati na kitu.
Mwaka Jana alitakiwa akatumbuize afrimma , alifika airport wakamueka kizuizini kumkagua hadi akachelewa ndege na akaishia kubaki bongo maana tuzo zikiwa zinatolewa kesho yake. Wala hakuwa na mzigo wowote