Wewe kweli chengakweli kuna mashabiki uchwara wa Diamond
hivi utajiri wa mabua shambani ndio mnauhesabu?
ngoja kiangazi kimuingie? unga sio deal awekeze k2 kingine
kwa Makonda kafika mwisho,
sijawahi sikia wimbo uliomuingizia bali ni hizi za kupita km za kina karoli
Labda mzazi wake au mama ake, wewe umesikia mkulu anasema mtu akituhumiwa na wewe ukienda kwa ajili ya dhamana unaunganishwa na kesi, sasa apo diamond atakubali kweliAtatumia watu wengine kuwawekea dhamana kama ana akili
Vipi kuhusu Rommy Jones naye hana ukaribu na Diamond?Kuoa sio tatizo kwa taarifa yako patiman na diamond no maji na mafuta hawapatani hats kidogo na hawana ukaribu hats kidogo ndo maana huwezi kumkuta petiman kwenye shughuli yoyote ya diamond I we white party, shows au hats shughuli za kifamilia sijui birthday au arobaini ya watoto wake
Huyo mbona anatambulika kama ndugu na mshirika wa karibu wa Dangote wa KibongoVipi kuhusu Rommy Jones naye hana ukaribu na Diamond?
Oyaaa acha story za kutunga,Jonas? Jonas na diamond wamatembea pamoja sikuhizi? Nadhani hujamfuatilia diamond muda mrefu
Yuko mahabusu kitambo sana na PetitRomy jobs mbona hajatajwa
Wameshibana haswa tangu utotoniHuyo mbona anatambulika kama ndugu na mshirika wa karibu wa Dangote wa Kibongo
Makonda kama yupo serious na anachokifanya, list yake itawafikia, ni suala la muda tuWe unahis zinatoka wap
Mkuu Kama hujui kaa kimya,Toka lini petit man akawa ndugu yake Diamond?
Hata iyo picha unakufanya uonekane mjinga, inaonekana hufuatilii habari zakeOyaaa acha story za kutunga,
Yani DJ wa Diamond asiongozane na Diamond?
WCB, Mapunda originalHata mtoto wa la pili haezi amini hilo mkuu[emoji23] [emoji23]
Ananiona mkuu, ila hamna namna ni lazima wajulikanewewe..,mungu anakuona ujue.!
Maskini utawajua tuWCB, Mapunda original
Inawezekana kabisa, maana lile group analoongozana nalo,huyo rommy sijui kwa kazi gani labda,mara q boi. Ni swala la muda tuHawawezi kumkuta mond na mzigo kwa sababu jamaa abebi mwenyewe... ye anabebesha watu kama kina Jones, we subiri jamaa wabanwe vizuri kama hawajamtaja boss wao.
Anahesabu dolari tu!wise-comedian huo msemo wa "counting them benjamin" unamanisha nini?
Hata iyo picha unakufanya uonekane mjinga, inaonekana hufuatilii habari zake
Unazidi kuonyesha ujinga wako hapo wapi? Na wanaenda wapi?
Utajiri wa kulipwa bilioni 2.2 alafu akaenda kulipa kodi milioni 35 ahaaa ahaaaEndelea kusubiri mwendokasi msata
Utajiri wa diamond unajulikana ,kuanzia mikataba yake na TRA wameshapita kukata chao
Ndo maana nakwambia hujui unachoongea.
Eti kasemwa sana hahaha