brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Wewe kweli chengakweli kuna mashabiki uchwara wa Diamond
hivi utajiri wa mabua shambani ndio mnauhesabu?
ngoja kiangazi kimuingie? unga sio deal awekeze k2 kingine
kwa Makonda kafika mwisho,
sijawahi sikia wimbo uliomuingizia bali ni hizi za kupita km za kina karoli
MTU anamikataba na
Vodacom amelipwa zaidi mil.600
Universal music bilioni 2
Cocacola
Tomato source
Dstv Tanzania
Fast jet
Unajua gharama ya show ya diamond ndani au nje ya nchi?
Maskini kama wewe ndo huwa hamuamini unaweza kufanikiwa kwa kujituma kwa njia halali