Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

kweli kuna mashabiki uchwara wa Diamond
hivi utajiri wa mabua shambani ndio mnauhesabu?
ngoja kiangazi kimuingie? unga sio deal awekeze k2 kingine
kwa Makonda kafika mwisho,
sijawahi sikia wimbo uliomuingizia bali ni hizi za kupita km za kina karoli
Wewe kweli chenga
MTU anamikataba na
Vodacom amelipwa zaidi mil.600
Universal music bilioni 2
Cocacola
Tomato source
Dstv Tanzania
Fast jet
Unajua gharama ya show ya diamond ndani au nje ya nchi?

Maskini kama wewe ndo huwa hamuamini unaweza kufanikiwa kwa kujituma kwa njia halali
 
Atatumia watu wengine kuwawekea dhamana kama ana akili
Labda mzazi wake au mama ake, wewe umesikia mkulu anasema mtu akituhumiwa na wewe ukienda kwa ajili ya dhamana unaunganishwa na kesi, sasa apo diamond atakubali kweli
 
Kuoa sio tatizo kwa taarifa yako patiman na diamond no maji na mafuta hawapatani hats kidogo na hawana ukaribu hats kidogo ndo maana huwezi kumkuta petiman kwenye shughuli yoyote ya diamond I we white party, shows au hats shughuli za kifamilia sijui birthday au arobaini ya watoto wake
Vipi kuhusu Rommy Jones naye hana ukaribu na Diamond?
 
Jonas? Jonas na diamond wamatembea pamoja sikuhizi? Nadhani hujamfuatilia diamond muda mrefu
Oyaaa acha story za kutunga,
Yani DJ wa Diamond asiongozane na Diamond?
a20bb008ca85fc851090370eaa8c3060.jpg
 
Hawawezi kumkuta mond na mzigo kwa sababu jamaa abebi mwenyewe... ye anabebesha watu kama kina Jones, we subiri jamaa wabanwe vizuri kama hawajamtaja boss wao.
Inawezekana kabisa, maana lile group analoongozana nalo,huyo rommy sijui kwa kazi gani labda,mara q boi. Ni swala la muda tu
 
afande sele

wakifuata haki hata wasafi watakuwa wachafu.

nilimsikia mr blue kwenye eatv akihojiwa na sam anasema anajenga nyumba nyingine tabata nkawa najiuliza huyu pesa anatoa wap wakat hata shoo hana kumbe ngada na nyandu toz wake
 
Endelea kusubiri mwendokasi msata
Utajiri wa diamond unajulikana ,kuanzia mikataba yake na TRA wameshapita kukata chao
Ndo maana nakwambia hujui unachoongea.
Eti kasemwa sana hahaha
Utajiri wa kulipwa bilioni 2.2 alafu akaenda kulipa kodi milioni 35 ahaaa ahaaa

Naona umeamua kupenda Boga na mizizi yake.
 
Back
Top Bottom