Diamond Kununua Private Jet Ndani ya Mwaka Huu (2014)

Jamani mmemnukuu vibaya alimaanisha kumnunulia doll la jet kwa mwanaye atakayezaliwa mwaka huu
 
duh! diamond anunue fast jet yake??:what: kweli muziki wetu unalipa???
 

Point. Yani umemaliza mkuu nimekupenda
 

Bora useme wewe tukisema sie tutaambiwa tuna wivu
 
Ndoto kila m2 anazo ila yake ameota vibaya amalizie ghetto lake anajenga miaka nyumba ya kawaida.je ingekua ghorofa c angejenga miaka 10 hizo ndoto alikua amekunywa kiroba nini
 
nishajibu,nimesema hiyo post aliweka Diamond insta week kadhaa zilizopita
na si kwamba anataka kununua mwaka huu,but ndoto zake ni siku moja anunue private jet
Dinazarde

Jamani huyu kaka muongo, nyooo maneno yote haya kumbe anasoma, lione
 
Last edited by a moderator:
Kama Gari lile la Chief Kiumbe Ameshindwa Kulinunua ije kuwa hiyo 1st Jet??
 

Eti kununua gari kama kununua ndala kariokoo, hiyo v8 imemshnda kununua kaazima , na wewe uone aibu mda mwingine unapitiliza sasa, ivi wewe mwenyewe una gari kwanza? Najua huna maana tungekoma hizo picha hadi ndani engine ungepiga picha.
 

Let me love you for this, I love you Drifter
 
Last edited by a moderator:

Nyoo kumamae zake , anadhan ------ yale kila mtu anayo
 
nitofautishie wewe

unajua kila mtu anakuwa na malengo katika maisha lakin si lazima ulipangalo litimie

but ile kind of thinking kwamba I want to do this and this ni nzuri atleast unaonekana una focus

Hana focus yeyote, mtu hata nyumba huna unawaza kununua jet, aache mawazo ya kina lil Wayne na bow wow, hana maendeleo yeyote ambayo yatafanya tuamini hizo ndoto zake na tuzione ziko alive, mtu kama lady jaydee ambaye tunajua yupo makini na ndoto zake na maisha yake akisema nataka kufungua radio station hakuna atakayepinga kama watakuwepo ni wachache na ni kweli kaonyesha nia hiyo. Diamond huna hadhi ya kununua jet. Malizia nyumba kwanza ndo uwaze hizo ndoto nyingine
 
Hivi bado kapanga Sinza au anaishi kwenye Bangalow lake Masaki teh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…