kweli kiba anajua kukamata watu pabaya hawana pa kupumulia kiba ni mwanamziki dadamond ni mfanya biashara wa mziki kiba hana mashauzi ila dadamond akinunua hata boxer anataka watu wote wajue.angalizo wa tz hawapendi dharau mwambie amuulize rafiki yake mtarajiwa mr nice
jamani punguzeni kusema ukweli
ndo ilivyo ila si unajua wamekuja kupotosha mi nawaambia daimond yule wa forever kwisha habari yakeeeee
km mnabisha aandae show tena peke yake mlimani city uone km hajalia mchozi wa damu
hahahahaha duu...mzee umezoea kulala mchana shemeji yako akienda kazini? kulala sitting room shida sana..naona jana wajomba zako walikuwa wanaangalia tamthilia mpaka late night ikabidi ukae kwenye koch mpaka wa malize ndio utandike mattress ulale..so unalipizia usingizi baada ya shemeji yako kwenda kazini..poyeee
ya moto band nawakubaki sana ht mi pia ningeenda kwa sababu ya yamoto band
halafu mbona miss tz kiingilio kinakuwaga kikubwa na wasanii wachache tu mwaka
pale ameitwa kwenda kutumbuiza tuu km juzi kwenye birthday ya kylinn
Unawakubaki sana ee
nilijua niko less informed kumbe ndiyo hivyo mkuu,kweli huyu Daimond are forever now amekwisha mpaka wanadandia shughuli za watu na kusema zao,ngoja tuone litakalo tokea leo,but Yamoto band watamfunika kwa mbali sana aiseee
Hivi hua kuna watu mpaka wanye ndio walale etii/??
Umeshaanza kujipa kazi za utabiri...mtabirie na kibakuli basi
nilijua niko less informed kumbe ndiyo hivyo mkuu,kweli huyu Daimond are forever now amekwisha mpaka wanadandia shughuli za watu na kusema zao,ngoja tuone litakalo tokea leo,but Yamoto band watamfunika kwa mbali sana aiseee
Ukibishana na watoto na we utaonekana mtoto. Nna uwezo wa kufuga mbuzi kama wewe 10 nyumbani kwangu mle,mnye,mlale. Usilete dharau kwa watu usiowajua ----- wewe
Amekwisha sana kiasi kwamba tuzo zote kubwa afrika anakuwa nominated...kusema za ukweli amekwisha huyu diamond hadi wasanii waliopotea zama za mawe wanatumia jina lake lake ili warudi katka game ..kweli ameisha huyu diamond
Amekwisha sana kiasi kwamba tuzo zote kubwa afrika anakuwa nominated...kusema za ukweli amekwisha huyu diamond hadi wasanii waliopotea zama za mawe wanatumia jina lake lake ili warudi katka game ..kweli ameisha huyu diamond
ya moto band nawakubaki sana ht mi pia ningeenda kwa sababu ya yamoto band
halafu mbona miss tz kiingilio kinakuwaga kikubwa na wasanii wachache tu mwaka
pale ameitwa kwenda kutumbuiza tuu km juzi kwenye birthday ya kylinn
Haha au umejikita katika kumtabiria Dimond tu
Elfu ishirini ndio kiingilio kikubwa?
na siku hiyo hiyo Alli Kiba atapiga show Mango Garden, kiingilio ni tsh. 5,000. hata hivyo mashabiki wake wamelalamika kuwa kiingilio hicho ni kikubwa sana hawakimudu
na siku hiyo hiyo Alli Kiba atapiga show Mango Garden, kiingilio ni tsh. 5,000. hata hivyo mashabiki wake wamelalamika kuwa kiingilio hicho ni kikubwa sana hawakimudu